Kazi au Ajira

B

Brcbrwn

New Member
Joined
Jun 19, 2019
Messages
4
Points
20
B

Brcbrwn

New Member
Joined Jun 19, 2019
4 20
Mimi ni kijana wa kiume umri 25 Elimu kidato cha nne ni mchapakazi na mwenye maadili mazur. Natafta kazi yeyote yenye malipo mkoa wa Arusha au mtu yeyote anaye weza nielekeza kwenye viwanda au kazi yoyote itakoyo nisaidia.
 
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2018
Messages
5,079
Points
1,995
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2018
5,079 1,995
Without experience in you professional by learned or practiced any trend for employee hopeless try business with low capital we live in this shit national poorest
 
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
19,830
Points
2,000
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
19,830 2,000
Umejuaje una maadili mazuri?
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
1,343
Points
2,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
1,343 2,000
Umejuaje una maadili mazuri?
Na pia amejuaje kuwa ni mchapakazi?
Maana unaweza ukajiona ni mchapakazi halaf ukaenda sehem yenye majembe ya kazi ukaonekana ni goigoi tu.
 

Forum statistics

Threads 1,315,680
Members 505,292
Posts 31,866,678
Top