Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,172
- 7,429
halafu namuuliza anaposema mcha Mungu anakusudia nini hataki kusema.Eti mcha MUNGU!!!!kila la kheri
halafu namuuliza anaposema mcha Mungu anakusudia nini hataki kusema.Eti mcha MUNGU!!!!kila la kheri
Waache wenye uhitaji waombe. Hayo mawazo yako maovu baki nayo.Wewe una matatizo hutaki muhudumu unatafuta namba za simu kwa nia ovu!
Nia yangu ni kurahisisha uombaji wa hii nafasi na sio kuweka urasimu usio na sababu.duh kwel utandawaz maombi ya kazi mpk whatsapp?
Kwa hyo upige picha vyeti umtumie mkuu,okay,then?wengine sisi ni waajiri tunapouliza swali lina maana yake,huwezi tumiwa vyeti au cv whatsApp kama ni serious employer huwezi fanya hivi mkuu,naogopa huyu hatakulipa mshahara we omba tu kama unaona sio ridiculous kupost kazi hivi!
Usichoelewa ni nini? Acha walioelewa waombe.halafu namuuliza anaposema mcha Mungu anakusudia nini hataki kusema.
Ondoa hofu niko poa na mpole sana. Wafanyakazi ninaishi nao kwa kipindi kirefu. Namshukuru Mungu kunijalia kuishi nao vizuri.Mkuu mbona kama unahasira sana utaweza kweli kukaa na wafanyakazi ?
wewe sio muajiri usibabaishe watu,au mali ya urithi inakusumbua kichwa,utaratibu wa ajira hauna tofauti na kwingine,wewe unataka wasapp ya nn?kama mtu hana whatsApp?ajiri wasioelewa wenzio!Waache wenye uhitaji waombe. Hayo mawazo yako maovu baki nayo.
Sawa nimekuelewa. Hizo taratibu zako endelea nazo huko kwako. Hizi zetu tuachie sisi.wewe sio muajiri usibabaishe watu,au mali ya urithi inakusumbua kichwa,utaratibu wa ajira hauna tofauti na kwingine,wewe unataka wasapp ya nn?kama mtu hana whatsApp?ajiri wasioelewa wenzio!
za kihuni hizo watu wasiombe ufanye uhudumu mwenyeweSawa nimekuelewa. Hizo taratibu zako endelea nazo huko kwako. Hizi zetu tuachie sisi.
Sawa. Endelea na hilo dua lako la kuku lisilompata Mwewe.za kihuni hizo watu wasiombe ufanye uhudumu mwenyewe
Kwa kweli kuna watu wanaudhi humu ila basi tuSawa. Endelea na hilo dua lako la kuku lisilompata Mwewe.