Kazi: Anahitajika mhudumu mgahawani, Dsm

Mcha mungu unakusudia nini mkuu? awe muislam au mkristo au?

unataka mwanaume au mwanamke?
kipindi hiki cha ramadhan unaoparate kwenye mfumo gani?
 
Mcha mungu unakusudia nini mkuu? awe muislam au mkristo au?

unataka mwanaume au mwanamke?
kipindi hiki cha ramadhan unaoparate kwenye mfumo gani?
Acha walioelewa na wenye uhitaji waombe. Haya maswali yako sitayajibu hapa.
 
Aljazeera Restaurant iliyopo Kigogo karibu na shule ya msingi Kigogo, Dsm inatangaza nafasi ya mhudumu (waiter).

Anahitajika mhudumu (waiter) mwenye uzoefu, mcha Mungu na mwaminifu.

Elimu kuanzia darasa la kidato cha nne. Maombi yako tuma kupitia WhatsApp 0757528827. Au fikamgahawani moja kwa moja. KARIBUNI
Unatumaje kwa whatsApp hayo maombi?
 
Ivi MTU mweny akili timilifu anatuma swali kama hili,..this ridiculous!
Mkuu serious job maombi huwa yanatumwa whattsapp? Ni sawa sawa na angesema tu sms kwa maombi tuu hapo kabadilisha platform tu, angesema andika barua tuu
 
Ivi MTU mweny akili timilifu anatuma swali kama hili,..this ridiculous!
Kwa hyo upige picha vyeti umtumie mkuu,okay,then?wengine sisi ni waajiri tunapouliza swali lina maana yake,huwezi tumiwa vyeti au cv whatsApp kama ni serious employer huwezi fanya hivi mkuu,naogopa huyu hatakulipa mshahara we omba tu kama unaona sio ridiculous kupost kazi hivi!
 
Nimekuelewa sasa,ahsante,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom