Kazi: Anahitajika mhudumu mgahawani, Dsm

Wewe kama ni mwajiri serious tangaza nafasi huko kwako na uweke taratibu zako unazoona zinafaa. Huu utaratibu wangu niachie mimi. Kuhusu kulipa watu fika kazini kwetu au peleleza kimyakimya kama kuna mtu kadhulumiwa. Vinginevyo acha kauli za kukatisha tamaa vijana wenzangu wanaotafuta kazi.
Kwa hyo upige picha vyeti umtumie mkuu,okay,then?wengine sisi ni waajiri tunapouliza swali lina maana yake,huwezi tumiwa vyeti au cv whatsApp kama ni serious employer huwezi fanya hivi mkuu,naogopa huyu hatakulipa mshahara we omba tu kama unaona sio ridiculous kupost kazi hivi!
 
Mkuu mbona kama unahasira sana utaweza kweli kukaa na wafanyakazi ?
Ondoa hofu niko poa na mpole sana. Wafanyakazi ninaishi nao kwa kipindi kirefu. Namshukuru Mungu kunijalia kuishi nao vizuri.
 
Waache wenye uhitaji waombe. Hayo mawazo yako maovu baki nayo.
wewe sio muajiri usibabaishe watu,au mali ya urithi inakusumbua kichwa,utaratibu wa ajira hauna tofauti na kwingine,wewe unataka wasapp ya nn?kama mtu hana whatsApp?ajiri wasioelewa wenzio!
 
wewe sio muajiri usibabaishe watu,au mali ya urithi inakusumbua kichwa,utaratibu wa ajira hauna tofauti na kwingine,wewe unataka wasapp ya nn?kama mtu hana whatsApp?ajiri wasioelewa wenzio!
Sawa nimekuelewa. Hizo taratibu zako endelea nazo huko kwako. Hizi zetu tuachie sisi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom