ally ngomanzito
Member
- Oct 7, 2015
- 86
- 108
1. Barabara ya Uswahili-Dampo Km 6.7 kwa gharama ya 6bil.
2. Ujenzi wa madarasa 49 ya shule za sekondari gharama ya 1.6 bil madarasa haya ya kisasa pamoja na madawati yake ya kisasa bila kuchangisha wananchi.
3. Municipal bonds hii ni jambo jipya kwenye halimashauri zetu nchini,na limeasisiwa hapa Arusha ambapo Meya wa Arusha alikutana na Waziri wa Tamisemi,TIB wamekubali wazo hilo la municipal bonds ambazo zitatumika kuhatakisha miradi ya maendeleo,na kufanya Jiji kujitegemea.
4. Ujenzi wa matundu ya vyoo 300 kwenye shule za msingi hivyo kuondokana kabisa na tatizo la vyoo kwenye shule zote za Jiji.
5. Timu ya mpira ya jiji.Tumejiwekea malengo ya kununua timu ya mpira ya jiji itakayoshiriki ligi kuu ya Vodacom.
6. Milioni 318 kwa ajili ya vijana na wanawake.
7. Kanzidata(database) ya mapato ya jiji kwa kata kwa lengo la kuongeza ufanisi na wajibikaji,yaani kila mwananchi ataelewa mapato kiasi gani yanapatikana kwenye eneo lake na jinsi yanavyotumika.