Mbona siioni expansion joint?!
kwani sasa hivi kila jengo ni lazima ziwepo?Ndo hivyo...ili jengo lipumue![]()
kwani sasa hivi kila jengo ni lazima ziwepo?
Nasikia zinatanuka alafu zinajirudisha zenyewe nyufa hizo hehehe![]()
kwani sasa hivi kila jengo ni lazima ziwepo?
Nasikia zinatanuka alafu zinajirudisha zenyewe nyufa hizo hehehe
Ova
Ndo hivyo...ili jengo lipumue
KolomijeKazi yako ni nzuri sana! Uko wapi mkuu?