Ila kwa kua elimu yetu inaangalia kile ulichopata tu,mwalimu hashughuliki na aliyokosa,kumbe aliyokosa ndiko uvumbuzi wa mtoto uliko jificha,yaani huyo dogo wakisema wamuhoji kwa nini ametoa hayo majibu aisee tunawez kuwa tumegundua kitu kimoja kikubwa sana,inaonyesha mshua wa huyo dogo ni cha pombe hatari yeye kurudi nyumbani ni night kali tuu