Kawambwa wagombeze heslb sio wanafunzi wa vyuo vikuu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kawambwa wagombeze heslb sio wanafunzi wa vyuo vikuu.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kinganola, Nov 1, 2011.

 1. kinganola

  kinganola Senior Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba mnisaidie kumuelewesha Kawambwa,Tatizo sio wanafunzi wa vyuo vikuu,tatizo ni bodi.Hivi na haki kweli Wanafunzi wamemaliza mwezi sasa vyuoni hawajapewa pesa zao?,na amesema wakigoma anafutia Mkopo.Hivi amewahi jiuliza kuwa wanaishije vyuoni?,au anafikiri ni watoto wa mafisadi kama yeye?,huyu mi nadhani aitwe kaumbwa sio kawambwa,maana anatabia za mbwa mbwa,mbwa ndo huwa wanabweka bweka ovyo ovyo hata wakimuona land lord wao.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Sa watu bogus kama kawambwa na jk nao ni watu wa kutupotezea muda wetu wa kuwadiscuss humu jf?
   
 3. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naomba nikujuze kidogo mkuu, kuwa tataizo sio Kawambwa wala Bodi kwa continuing students bali ni hivyo vyuo vyetu yva kata ambavyo tunasoma tunavisoma. Kwanza kabisa bodi imepeleka hela kwa wakuu wa vyuo upande wa taaluma kwa kila chuo hapa Nchini sema wamepewa mashariti ya kutowawekea wadau hizo hela hadi watakaporipoti vyuoni il,i kuepukana na usumbufu wa kugawa fedha kwa wasiohusika ila shida ni kwamba wakuu wetu wa vyuo na Loan officer hela wameziweka kwenye fixed account ili wajipatie faida, ndio maana vyuo kama UDSM na DUCE wamepewa hela kwani kwao hakuna walafi wengi na Wanafunzi wa UDSM na Campus zake wanajua kuwania haki zao za msingi, ISIPOKUWA TU CAMPUS YA SUA.
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  Dr. Kawambwa ulikosea kujiingiza kwenye siasa hizi za magumashi.
   
 5. kinganola

  kinganola Senior Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We mwana JF,sijakurupuka kuandika hili,i think unasoma udsm au duce,Hakuna chuo kinachoshikilia pesa za wanafunzi na waweke kwenye fixed account,Hayo ni mawazo yako.Mi mwenyewe niliwahi kuwaza hivyo but nikafanya uchunguzi,nikagundua si kweli,Heslb ndo wasanii mwanzo mwisho.Kuwa makini na hoja zako.
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  mkuu,ucbishe,nakumbuka mwaka ulopita wa masomo,heslb walfanya uchunguzi wakabaini vyuo vingi hasa vya private mayb ukitoa saut huwa wanafanya huo usanii,na kuna mdau wangu nae toka pande za muccobs amewah kunambia chuo chao nao huwa wanafanya huo ujinga!
   
 7. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  Wenyewe wanamwita 'Kawa Mbwa', bure kabisa huyu jamaa!
   
 8. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweli mkuu lakini huu usanii upo, wakati nipo mwaka wa kwanza university tulisainishwa pesa hewa, lakini baada ya wadau kuamka na kudai turudishiwe sahihi zetu pesa waliweka, na kwa mifumo yetu ya Kibongo haya mambo ya fix yapo ni ya kawaida kwenye taasisi nyingi zinazojishughulisha na fedha nyingi, mfano dhahiri ni pale mtu uchukuapo mkopo Bank unaweza kuambiwa hela zitatoka ndani ya saa 24 ila zikachukua hata week 2, je wew unadhani wanazifanyaia nini?
   
Loading...