jameszejie Member Joined Jun 26, 2016 Posts 17 Reaction score 3 Jun 30, 2016 #1 Samahani wana JF naomba mnijuze mwenye ujuzi was kuiwekea wimbo picha au kava pale unapouplay uwe unashow picha ambayo unaitaka iwe natanguliza shukrani zangu kwa mwenye hiyo knowledge
Samahani wana JF naomba mnijuze mwenye ujuzi was kuiwekea wimbo picha au kava pale unapouplay uwe unashow picha ambayo unaitaka iwe natanguliza shukrani zangu kwa mwenye hiyo knowledge
mbeyaboyfrancy JF-Expert Member Joined Mar 12, 2015 Posts 248 Reaction score 91 Jun 30, 2016 #2 Nenda playstore download hii app[emoji116]
jameszejie Member Joined Jun 26, 2016 Posts 17 Reaction score 3 Jul 1, 2016 Thread starter #3 mbeyaboyfrancy said: Nenda playstore download hii app[emoji116] Click to expand... Thanxx