Kauzu zaidi ya dagaa

Hata huyu jamaa anavyoshika kalamu kuandika huwa simuelewi, sijui ndio wale wale!!😎😎😎




 
Dah iman imempanda huyo anasoma bila shida.So serious.
 
Kuna vitabu vinakuwa na lugha mbili, ukigeuza huku may be kishwahili na upande mwngne may be kiingereza so ukiwa unasoma upande mmoja automatic kitabu kinakuwa kimegeuka kwa upande mwngne
"Huyo ni wa Kiingereza ?,,,,,,??????,,"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…