Kauli zinazokera katika mizagamuano

Kauli zinazokera katika mizagamuano

Amos David Mathias

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2022
Posts
1,575
Reaction score
3,106
Kuna kauli nyingi ambazo wakati wa muingiliano Huwa zinakera.Nachosikitika ni kuwa wanawake ndyo wanakuwa vinara wa hizi kauli Mbaya.Zinaweza zikawa kauli za kweli lakini zinawasilishwa Kwa njia Mbaya .Hizi ni baadhi ya orodha Fanya kauli ambazo ukiambiwa na Mwanamke zinaweza zikakukata stimu na usitake kuendelea na faragha:

1 Unaniumiza Bwana

2 We nawe kwani humalizi maliza basi

3 Fanya haraka nimechoka

4 Usinishike hapo

5 Hivi wewe ni Mwanaume kweli

Ni kauli nyingi Sana wanazotoa za kuonyesha dharau na kutukana.

Chamsingi maliza haja zako sekunde kadhaa tembea maana hizo kauli haziishagi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom