Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 40,712 Reaction score 63,399 Sep 18, 2019 Thread starter #21 Muuza simu used said: Kuna msemo "Pambana na hali yako" utumie msemo huu hadi siku Muumba anakuita,kama kuna MTU anayeweza kukusaidia kwa hali na Mali kuliko mtu yeyote ni Akili yako mwenyewe, nishaganyaga marafiki wote uchwara naishi kibabiloni na matokeo nayaona Click to expand... Nimecheka sana,ila pia kuna kitu nimejifunza
Muuza simu used said: Kuna msemo "Pambana na hali yako" utumie msemo huu hadi siku Muumba anakuita,kama kuna MTU anayeweza kukusaidia kwa hali na Mali kuliko mtu yeyote ni Akili yako mwenyewe, nishaganyaga marafiki wote uchwara naishi kibabiloni na matokeo nayaona Click to expand... Nimecheka sana,ila pia kuna kitu nimejifunza