Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,353
- 62,596
Ni kweli nakubaliana na wewe,ni sawa na mtu ni mgonjwa na inatakiwa kiasi fulani cha fedha kwa matibabu...mtu anashindwa kukupa usuluhisho hata mdogo,baadala yake anakuambia Mungu atakusaidia utapona.Kibongo bongo omba sana upewe ubongo wenye halmashauri imara kuweza kumudu changamoto zako binafsi unazokumbana nazo, vinginevyo hiyo ya kwenda kuomba ushauri kwa kila mtu itafikia wakati utajichukia na wewe mwenyewe
Ni kweli nakubaliana na wewe,ni sawa na mtu ni mgonjwa na inatakiwa kiasi fulani cha fedha kwa matibabu...mtu anashindwa kukupa usuluhisho hata mdogo,baadala yake anakuambia Mungu atakusaidia utapona.
Hiyo ni mifano michache tu,kuna maeneo mengi watu hutumia huo msemo katika hali ya kukwepa majukumu...na kukuacha wewe upambane na hali yako.Oooh kumbe ni hivyo,, huyo unampotezea tu siku akifikwa nae unamjibu jibu hilohilo
Hiyo ni mifano michache tu,kuna maeneo mengi watu hutumia huo msemo katika hali ya kukwepa majukumu...na kukuacha wewe upambane na hali yako.
ha ha ha haNdo kawaida yetu wabongo tuzoee tu, "Mungu atatusaidia tuache hiyo tabia"
Sasa huo unaouita usuluhisho mdogo wewe mbona huna. Inawezekana pia ukamfwata mtu akusaidie, akawa hana cha kukusaidia kama wewe ulivyokuwa hauna.Ni kweli nakubaliana na wewe,ni sawa na mtu ni mgonjwa na inatakiwa kiasi fulani cha fedha kwa matibabu...mtu anashindwa kukupa usuluhisho hata mdogo,baadala yake anakuambia Mungu atakusaidia utapona.
Ni kweli mkuu,nadhani pia kutokana na ugumu wa utafutaji ndio unaleta hii hali ya kupoteza utu (ubinadamu).Nyakati hizi sio ndugu,rafiki wala nani....hakuna sehemu yenye faraja.Na haka kamsemo ka "pambana na hali yako" kameharibu mstakhabari mzima wa utu
ha ha ha ha ni sawa sawa na kushinda njaa siku 2 baada ya hapo ukaenda kwa jirani angalau akupatie hata mabaki ya chakula,badala ya kukupa anakuambia Mungu atakusaidia...hiyo unaichukuliaje mkuu?Sasa huo unaouita usuluhisho mdogo wewe mbona huna. Inawezekana pia ukamfwata mtu akusaidie, akawa hana cha kukusaidia kama wewe ulivyokuwa hauna.
Sasa ulitaka akwambie neno gani zuri zaidi ya UMUOMBE MUNGU.
Nakubaliana na wewe,kama hakutakuwa na usuluhisho kwa nini ueleze matatizo yako.Lakini pia kuna matatizo mengine ni ngumu kuyavumilia unajikuta tu unaomba ushauri/msaada, mfano:tatizo lolote la kiafya iwe la kubadilishiwa kiungo n.kNever tell your problems to anyone, 20% don't care and the other 80% are glad you have them
Nakubaliana na wewe,kama mtu ana njaa maombi yatamsaidia nini?1.Inategemea unamueleza nani na mmeshibana vipi na huyo unaemueleza matatizo yako
2.Usikremu msaada unaweza kuwa wa aina tofauti kama fedha,mawazo,ushauri hata maombi pia yanasaidia wengi
3.Expect less from people si kila utakae kuwa open kwake anamsaada wako lakini kitendo chakumuamini mtu ukamfungukia matatizo yako ni moja ya tiba kwako
Kingsmann
Nakubaliana na wewe,kama mtu ana njaa maombi yatamsaidia nini?
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]1.Inategemea unamueleza nani na mmeshibana vipi na huyo unaemueleza matatizo yako
2.Usikremu msaada unaweza kuwa wa aina tofauti kama fedha,mawazo,ushauri hata maombi pia yanasaidia wengi
3.Expect less from people si kila utakae kuwa open kwake anamsaada wako lakini kitendo chakumuamini mtu ukamfungukia matatizo yako ni moja ya tiba kwako
Kingsmann
Kuna msemo "Pambana na hali yako" utumie msemo huu hadi siku Muumba anakuita,kama kuna MTU anayeweza kukusaidia kwa hali na Mali kuliko mtu yeyote ni Akili yako mwenyewe, nishaganyaga marafiki wote uchwara naishi kibabiloni na matokeo nayaonaKatika maisha ya kawaida,ukimueleza mtu shida zako au matatizo yako na akashindwa kukupa ushauri au usuluhishi wa maana...na matokeo yake anakuambia tumuachie Mungu,jua ya kuwa huyo mtu hana msaada kwako. Kwa kawaida binadamu ameumbiwa changamoto na changamoto zinatakiwa zitatuliwe na binadamu wenyewe.
ha ha ha haAfrika kila mtu ana matatizo yake tegemea jibu lolote