Kauli za rais wa Tanzania na mtetezi wa wanyonge Dkt. Magufuli leo mkoa wa Manyara

Saga mahindi uuze unga bei yake ni nzuri


Unga issue masoko. Mahindi hata uwe na gunia ngapi enzi za kikwete ilikuwa unauza kirahisi. Unga wateja wake ni mainly watu wenye Maduka wakati Mahindi Yalikuwa unapeleka tu Mombasa achilia mbali wafanya biashara wanaofuata direct lakini unga hamna anaekufuata
 
Kweli wanatuchonganisha sana wanataka kumuua lissu halafu wanatusingizia sisi ili tukianza kugombana wao waibe. Watu wabaya
 
MAGUFULI ana MUNGU

Kama Mungu wa Magufuli ni huyu anayeagiza wapinzani wapigwe risasi hadharani kwa kisingizio cha USALITI nina mashaka sana na huyo mungu wa Magufuli..!!
Biblia inasema USIUE na USIHUKUMU usije ukahukumiwa halafu anatokea kiongozi kwa vile ni Rais anaagiza mtu apigwe risasi zaidi ya 30 kama mnyama kwa vile tu amemkukosoa....???No!
 
Kweli wanatuchonganisha sana wanataka kumuua lissu halafu wanatusingizia sisi ili tukianza kugombana wao waibe. Watu wabaya

Hizo ni propaganda za kitoto za Serikali ya CCM!!
Haiwezekani kwa namna yoyote ile ati sijui ACACIA au GGM wampiga risasi Lissu mchana kweupe na watokomee kusikojulikana na mpaka leo hakuna aliyekamatwa hata mmoja halafu unasema ni wawekezaji!!Never. Kama wana suspect waliofanya shambulio la Lissu ni Wawekezaji kwanini hawajamkamata hata kiongozi mmoja wa Migodi ya madini kuhojiwa kuhusu hili...??? That is too cheap, nobody can buy that!!!
 
Mhe. Najua una kazi ngumu lakin ugumu wa kazi sio kigezo cha kutotumia akili...

Unasema wanalalamika wakati mshahara ni ule ule je umesahau umeongeza makato hasa ya loan board kutoka 8% mpaka 15% na mshahara hujaongeza??

Je unajua huo ukuta utajenga lakin kama wanaweza kuchimba chini na kuifwata dhahabu watashindwa kutengeneza underground tunnel ya kupitisha hizo dhahabu??

Tumia akili bana...
 
leo kaongea kwa unyonge sijui nini kimeanza kumsibu

Yawezekana kabisa maombi ya Watu wa Mungu yameanza kufanya kazi..... Lakini pia usisahau kuna ALBADIR ambayo inafanya kazi ule upande mwingine....Kuna siku kitaeleweka tu. Mungu hajaribiwi....!!!
 
Katika hii vita ya uchumi, watatugombanisha, na sisi tukikubali kugombana wataendelea kutuibia. Ni vyema tushikamane sana.

Ukiona kazi huwezi, acha uondoke, kuna watanzania wengi sana wanaotamani kufanya hiyo kazi.

Mtu analalamika maisha magumu, lakini mshahara wake haujapunguzwa ni ule ule. Basi hapo unajua kulikuwa na namna ya ziada.

Wengine wakisimama na kusema pesa zimepotea, sitawashangaa kwa sababu walizoea kuiba pesa zisizo zao, na kweli zimepotea.

Najua hamna hata ambulance, hiyo nitawaletea mimi. Nitakwenda kuwa katakata huko, nitapata ambulance itakuja.

Hii barabara watapita watu wote wa vyama vyote. Hata majizi wa Tanzanite, watapita barabara hii.

Najua kuna wawekezaji wameanza kuondoka, na wengine wameshaondoka kwa sababu walichokuwa wanakifanya hakikuwa sahihi.

Tanzania tunataka wawekezaji, lakini kama anadhani anakuja kutuibia, kwa sasa hawezi. Tumeweka mikakati kudhibiti mali zetu

Soko la madini ya Tanzanite liwe hapa hapa Simanjiro lisiwe Arusha. Wanunuaji waje hapa, wakae hapa, wale hapa hapa.

Kwa sababu Mungu hakukosea kuweka Tanzanite Tanzania, basi ni lazima tuitumie kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wetu.

Hapa patafungwa kamera za ulinzi, kutakuwa na mlango mmoja tu, na hata mtu akimeza Tanzanite itaonekana. Tumechoka kuibiwa.

naagiza JWTZ kupitia Suma JKT kujenga ukuta eneo la Block A-D ambalo ndilo lenye madini mengi ya Tanzanite, na kufunga kamera
MKUU WAAMBIE MODS WAREKEBISHE...MANYARA MKOANI ARUSHA..
MANYARA NI MKOA TOFAUTI NA ARUSHA..UMESHATENGANISHWA KITAMBO
 
Mhe. Najua una kazi ngumu lakin ugumu wa kazi sio kigezo cha kutotumia akili...

Unasema wanalalamika wakati mshahara ni ule ule je umesahau umeongeza makato hasa ya loan board kutoka 8% mpaka 15% na mshahara hujaongeza??

Je unajua huo ukuta utajenga lakin kama wanaweza kuchimba chini na kuifwata dhahabu watashindwa kutengeneza underground tunnel ya kupitisha hizo dhahabu??

Tumia akili bana...

Bro, naona kama vile Nissan Patrol T932 AKN ina kunyemelea taratibu...Watch out...!!!Watu wasiojulikana bado wana risasi za kutosha. Wakikufuma watamiminia za kutosha......!!
Haya maswali jamaa akisoma atavimba kama Cobra maana hataki kukosolewa ati....!! Siku zote nasema huyu jamaa ni just a CHEMIST hana A,B,C za Uchumi na ndo maana kila siku analiingiza Taifa kwenye migogoro na gharama ya Mikataba ya Kiuchumi cause he knows nothing about breaching/terminating of a Contract. Kwake kuvunja Mkataba ni kutaka sifa kwa kuumiza au kukomoa upande wa Mkandarasi bila kufikiria kuwa kuna consequences to bear unapokurupuka...!!!
 
Back
Top Bottom