Ungekaa miaka kwa mjomba wako,ungevuna Hekima Nyingi mkuu!Katika Makuzi yangu ya Maisha, nilipata muda wa kukaa kwa Mjomba Wangu, kwa muda wa mwaka mmoja. Hizi ndo kauli za Mjomba Wangu.
1. Kula sio leo tu hata kesho utakula, akimaanisha mwanadamu anakula siku zote.
2. Mwanadamu damu, mwanadamu sio mbuzi. Huwezi kumuongoza mwanadamu unavyotaka lazima atatenda usivyotala.
3. Usioe mwanamke unaempenda,
Akimaanisha kuoa mwanamke unaempenda utateseka.
5. Ukipata shida usijinyoge,(Ukauva unalipambilile).
Akimaanisha usijinyoge shida zitakwisha.
6. Mjomba kwani ujomba umeisha. Akimaanisha mawasiliano ndo yanadumisha ujomba.
7. Haibu zipo unyayoni(Chini ya miguu). Mtu asiekua na aibu kwa lolote baya alilotenda la aibu ktk jamii.
Wako ni mmakonde?Katika Makuzi yangu ya Maisha, nilipata muda wa kukaa kwa Mjomba Wangu, kwa muda wa mwaka mmoja. Hizi ndo kauli za Mjomba Wangu.
1. Kula sio leo tu hata kesho utakula, akimaanisha mwanadamu anakula siku zote.
2. Mwanadamu damu, mwanadamu sio mbuzi. Huwezi kumuongoza mwanadamu unavyotaka lazima atatenda usivyotala.
3. Usioe mwanamke unaempenda,
Akimaanisha kuoa mwanamke unaempenda utateseka.
5. Ukipata shida usijinyoge,(Ukauva unalipambilile).
Akimaanisha usijinyoge shida zitakwisha.
6. Mjomba kwani ujomba umeisha. Akimaanisha mawasiliano ndo yanadumisha ujomba.
7. Haibu zipo unyayoni(Chini ya miguu). Mtu asiekua na aibu kwa lolote baya alilotenda la aibu ktk jamii.
Kwa hiyo nae huolewa?Mjomba ni Mama
Fafanua hiii mkuuu3. Usioe mwanamke unaempenda,
Akimaanisha kuoa mwanamke unaempenda utateseka.
😃8. Hakuna marefu yasiyo na ncha.
Akimaanisha hata iwe ndefu vipi nitaweza kuimudu
Unatoa didy?8. Hakuna marefu yasiyo na ncha.