Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 2,615
- 1,501
Kauli ya rais ilihusu kurefushwa muda wa kuanza matumizi ya kikokotoo kipyaNateswa na kauli ya rais kwa sababu watendaji wa NSSF wanadai ilikuwa ni siasa tu za majukwaani wao hawatoi hela wala hawajaagizwa kutoa. Nadhani kuteswa na kauli ya rais ni sawasawa na kuteswa na rais, hivyo Rais ananitesa.