Kauli ya Polisi yenye madai ya ‘padri kujipoteza’ yamkwaza Askofu Nkwande

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Kanisa Katoliki jimbo kuu la Mwanza limezungumzia taarifa ya kupatikana Padre Nikata iliyotolewa na jeshi la polisi mkoa wa Ruvuma, Msikilize Mhashamu Renatus Nkwande.

Mhashamu Renatus Nkwande amesema kama Padri huyo alitaka kuacha Upadri yeye askofu alipaswa kujua na wala si mwingine amebainisha kuwa askofu wa Jimbo la Songea pia hajua kama padri huyo alitaka kuacha upadri.

"Eti watu wanasema alishaaomba hakusikilizwa mapadri ivi ukitaka kuacha upadri unasikilizwa? si unaondoka zako tunaowangapi ambao wameacha huko wameondoka, walisikilizwa? badala ya kupata maneno yakutia moyo tusikate tamaa tunapewa maneno ya maudhi" Mhashamu Renatus Nkwande.

Pia Soma:

Kanisa Katoliki nchini linatakiwa lichukue tahadhari mapema. Maaskofu wakae na Mapadre wao na kuwaeleza ukweli waache kuishi kwa mazoea! Maana kwa namna moja au nyingine wanachangia kuharibu taswira ya Kanisa.

Na huu msimamo wao wa kukemea maovu hadharani, wasifikiri unafurahiwa na hao watendaji wa hayo maovu! Na hasa policcm. Hawa viumbe wakilipata tukio linalowahusu Mapadre wa Katoliki, wamekuwa wakiliongelea kwa dharau na kejeli ya hali ya juu sana.

Tafadhari! Chukueni tahadhari ili msiwape hawa form four failures nafasi ya kuwabagaza.
 
Hawa maaskofu na mapadre wanna mademu kibao na tunaishi nao humu mtaani...wajiangalie wao kwanza kabla ya kuwanyooshea vidole wengine
 
Kanisa Katoliki nchini linatakiwa lichukue tahadhari mapema. Maaskofu wakae na Mapadre wao na kuwaeleza ukweli waache kuishi kwa mazoea! Maana kwa namna moja au nyingine wanachangia kuharibu taswira ya Kanisa.

Na huu msimamo wao wa kukemea maovu hadharani, wasifikiri unafurahiwa na hao watendaji wa hayo maovu! Na hasa policcm. Hawa viumbe wakilipata tukio linalowahusu Mapadre wa Katoliki, wamekuwa wakiliongelea kwa dharau na kejeli ya hali ya juu sana.

Tafadhari! Chukueni tahadhari ili msiwape hawa form four failures nafasi ya kuwabagaza.
Mapadri wengi wana vimada huku mitaani wanajulikana na wengine mpaka wamezaa nao kabisa. Maaskofu wakae na mapadri wao na kuwapa angalizo kuhusu mienendo yao hiyo mibovu. Pia wawe waangalifu hasa wakati huu ambapo kanisa lipo katika mgogoro na serikali.

Pia inashangaza padri anapokuwa na madeni. Madeni ya nini wakati wanapatiwa karibu huduma zote bure? Pia wapunguze kujichanganya sana huku mitaani hasa nyakati hizi za hatari.
 
Mhh sasa mtu kua na mademu kunaingiaje kwenye hii topic za Utekaji na ukatiri? Au mademu ndo wanateka watu skuiz?
 
We nawe dah!

Hizi ni nyakati za hatari. Huko kwenye vimada wao ndiko wanakokamatika kwa urahisi sana. Na ni rahisi hata kuundiwa zengwe ikaonekana kwamba hata kutekwa kwao ni ishu za wivu wa mapenzi tu na si vinginevyo maana hata vimada wao huko inawezekana nao pia wana wanaume wengine. Isitoshe kuwa na vimada ni kinyume na viapo vyao vya kazi (useja) na kunalichafua kanisa zima.

Hili nalo kweli linahitaji kuwa na D mbili ili kulielewa? GT umeniangusha sana!

Huyu kasingiziwa eti kapoteza milioni 39 kwa kimada na hiki ndicho kimempelekea kuingia katika madeni makubwa mpaka kuvuruga afya yake ya akili.....
 
Mapadri wengi wana vimada huku mitaani wanajulikana na wengine mpaka wamezaa nao kabisa. Maaskofu wakae na mapadri wao na kuwapa angalizo kuhusu mienendo yao hiyo mibovu. Pia wawe waangalifu hasa wakati huu ambapo kanisa lipo katika mgogoro na serikali.

Pia inashangaza padri anapokuwa na madeni. Madeni ya nini wakati wanapatiwa karibu huduma zote bure? Pia wapunguze kujichanganya sana huku mitaani hasa nyakati hizi za hatari.
Mtoto koma
 
We nawe dah!

Hizi ni nyakati za hatari. Huko kwenye vimada wao ndiko wanakokamatika kwa urahisi sana. Na ni rahisi hata kuundiwa zengwe ikaonekana kwamba hata kutekwa kwao ni ishu za wivu wa mapenzi tu na si vinginevyo maana hata vimada wao huko inawezekana nao pia wana wanaume wengine. Isitoshe kuwa na vimada ni kinyume na vipi vyao vya kazi na kunalichafua kanisa zima.

Hili nalo kweli linahitaji kuwa na D mbili ili kulielewa? GT umeniangusha sana!
Mbona viongozi wengi tu wa serikali wana vimada na michepuko??
 
We nawe dah!

Hizi ni nyakati za hatari. Huko kwenye vimada wao ndiko wanakokamatika kwa urahisi sana. Na ni rahisi hata kuundiwa zengwe ikaonekana kwamba hata kutekwa kwao ni ishu za wivu wa mapenzi tu na si vinginevyo maana hata vimada wao huko inawezekana nao pia wana wanaume wengine. Isitoshe kuwa na vimada ni kinyume na vipi vyao vya kazi na kunalichafua kanisa zima.

Hili nalo kweli linahitaji kuwa na D mbili ili kulielewa? GT umeniangusha sana!
Njaa isikupeleke puta
 
Kanisa Katoliki nchini linatakiwa lichukue tahadhari mapema. Maaskofu wakae na Mapadre wao na kuwaeleza ukweli waache kuishi kwa mazoea! Maana kwa namna moja au nyingine wanachangia kuharibu taswira ya Kanisa.

Na huu msimamo wao wa kukemea maovu hadharani, wasifikiri unafurahiwa na hao watendaji wa hayo maovu! Na hasa policcm. Hawa viumbe wakilipata tukio linalowahusu Mapadre wa Katoliki, wamekuwa wakiliongelea kwa dharau na kejeli ya hali ya juu sana.

Tafadhari! Chukueni tahadhari ili msiwape hawa form four failures nafasi ya kuwabagaza.
Ni kweli kabisa, hata kama wana mawasiliano ambayo yanatoka nje ya taratibu za Kanisa waache au wajitoe katika utume.

Ukisikiliza taarifa iliyotolewa unaona kabisa ni kama kuna nia ovu ya kulichafua Kanisa.
 
- Ashangazwa na kauli za kejeli kwa Kanisa Katoliki

- Aseme wanafanya makwazo kwa wananchi bila sababu

- Asema katika nchi kunaweza kuwa na watu ‘watukutu’ ila hakuna sababu kuwateka wala kuwapoteza.

Kanisa Katoliki jimbo kuu la Mwanza limezungumzia taarifa ya kupatikana Padre Nikata iliyotolewa na jeshi la polisi mkoa wa Ruvuma, Msikilize Mhashamu Renatus Nkwande.

Mhashamu Renatus Nkwande amesema kama Padri huyo alitaka kuacha Upadri yeye askofu alipaswa kujua na wala si mwingine amebainisha kuwa askofu wa Jimbo la Songea pia hajua kama padri huyo alitaka kuacha upadri.

"Eti watu wanasema alishaaomba hakusikilizwa mapadri ivi ukitaka kuacha upadri unasikilizwa? si unaondoka zako tunaowangapi ambao wameacha huko wameondoka, walisikilizwa? badala ya kupata maneno yakutia moyo tusikate tamaa tunapewa maneno ya maudhi" Mhashamu Renatus Nkwande.
Nilichoelewa

Nilichoelewa ni kwamba mambo yote ambayo polisi wameyasema kuhusu huyo padri Nikata kama vile kumsomesha mpenzi wake ambaye baadae amemkataa , pamoja na kuwa na madeni ni kweli na ambacho sio kweli kwa mtazamo wa askofu ni mpango wa padri nikata kutaka kuacha upadri kwahiyo mengine yote ni kweli.
Lakini swali linabaki kwamba ikiwa hakuwa na mpango wa kuacha upadri huyo msichana alikuwa akimsonesha kwa malengo gani na mapadri hawaruhusiwi kuoa?!
 
Mhh sasa mtu kua na mademu kunaingiaje kwenye hii topic za Utekaji na ukatiri? Au mademu ndo wanateka watu skuiz?
Padri Nikata alikuwa na demu anamsomesha na halafu demu alivyomkamkataa ndio padri akaenda kujificha kutokana na mawazo mengi aliyokuwa nayo!
Swali ni kwamba ikiwa hakuwa na mpango wa kuacha upadri huyo demu alikuwa anamsomesha kwa malengo gani na kamkataa kivipi ?!
Na iweje swala la kukataliwa limpe stress wakati hana mpango wa kuoa?!
 
Back
Top Bottom