Kauli ya Nape kuhusu magamba mapya CCM

Kauli ya Nape kuhusu magamba mapya CCM

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
3,454
Reaction score
2,984
Najua asilimia kubwa ya ccm ni magamba, lkn haya nimeyaita magamba sugu au magumu kwani naamini kama walishindwa kuvua gamba la Lowasa na Chenge, hili la Luhanjo, Ngeleja, Malima, Jairo, Kafumu, Utoh, nk siamini kama watayaweza. Kazi hiyo nyingine kwa Nape.
 
Najua asilimia kubwa ya ccm ni magamba, lkn haya nimeyaita magamba sugu au magumu kwani naamini kama walishindwa kuvua gamba la Lowasa na Chenge, hili la Luhanjo, Ngeleja, Malima, Jairo, Kafumu, Utoh, nk siamini kama watayaweza. Kazi hiyo nyingine kwa Nape.
.........mwenzio anafikiri ni jinsi gani atamkana kiuno Chenge aondoke na gamba maana limeishia kiunoni (....limeishia kiunoni ati, hili gamba linafaa liwekwe makumbusho)
 
Aagrrr! Mimi nilidhani Nape katoa tamko!
 
Kuwavua wote hawa ni kazi ngumu mno. madonda ya Igunga bado hayajapona. Tuwe na huruma wakati mwingine.
 
Nimeshanangaa sana.Kafumu naye ndani!Yaani posho ya siku moja tu vilaki kadhaa!
 
napata shaka na Kafumu,tayari kashaondoka wizaran sasa yupo bungeni
 
Utoh,jairo na luanjo b wanasisiem
ila kafumu kwa sasa,anaucka
 
anachokifanya nape ni usanii mtupu na wanao mtuma
Nape,sita na mwakiembe walianzisha ccj ndani ya ccm,wale ndio wakwanza kukidhoofisha chama na sio lowassa,chenge na rostom.
Kama kujivua dhamba ni swala la yoyote ana tuhumiwa kwa ufisadi dr dalali naye anapaswa kuvua gama,jk,luhango,jairo, et.al.
Mimi naishauri ccm wambuni mikakati ya kuboresha maisha ya watu kuliko kelele za unafiki hambazo hazina tija ila umaarufu wa mtu binafsi ktk siasa
 
Mbona Tulisikia alikuwa Mgonjwa?

Hakuhudhuria kesi yake Arusha, na tulidhania hatahudhuria NEC Monday 21st 2011?
 
Wote hawa Nape anawafahamu ndiyo maana ktk moja ya speech zake alisema wanaanza kujisafisha kuanzia juu (Mtu huanza kuoga kuanzia kichwani na kuendelea) na wataendelea hadi ngazi ya kitongoji - Ila kwa sasa ni ndani ya cha kwanza kumbukeni kuwa huu ni mpango endelevu " Non stop action plan "

Alisisitiza sana habari za muuza duka kuuza bidhaa kwa bei asiyo pangiwa na mwenye duka kuwa anapouza ghari anafukuza wateja na kuleta hasara siku hiyo nakumbuka alimuita Dr Mwakyembe na kumuonyesha kwa wananchi kuwa hawa ndiyo wauuza duka letu haya sema una mpango gani na barabara za hapa Mbeya

Jamani Nape mpango wakukisafisha chama anao tena mzuri tu ila anakosa support maana tungekuwa tunasikia habari zilezile zinazoshabihiana na za Nape kutoka kwa viongozi wengine ndani ya chama

Ninalo liona mimi anachokosea Nape ni kuwasema ovyo CHADEMA hawa angewaacha tu angeendelea na jambo moja tu " kukisafisha chama chake " kwani hapa TZ hakuna upinzani wa kweli wote hawa wanakisaidia chama tawala ili kijirekebishe kiendelee kutawala kwa system mpya na siyo ile ya miaka nenda rudi
 
Gamba CCM ni Edward Lowassa, Chenge, Khamis Mgeja, Mabina, Ngeleja, Werema na Gunninita
 
Hivi nyie mnadhani jeuri ya ngereja ni nini kama hayupo nyuma ya JK?
 
Back
Top Bottom