What I see from CCM ni watu wasiokuwa na fikra za kujenga nchi. Nahisi uwezo wa Nape kufikiri wa kufanya analysis ya wapi chama chake kinapoelekea kwa sasa ni mdogo. Too short sighted!! I am from Arusha, na hukumu ya lema imeleta dharau kubwa sana kwa CCM. What people need is performance and not blaablaa!! Hivi kwenye majimbo ya CCM ni vijana wangapi wamepata ajira kwa kuwa na wabunge hao wa CCM? Mrema alipokuwa Mbunge wa Arusha kwa miaka 15 alifanya nini cha kukumbukwa Arusha? Hiki kipindi kifupi alichokaa lema, purukupushani za CCM mabadiliko yapo. Acheni kutujuza. Mtashangaa uchaguzi ukiitishwa. Nape my friend, seems wewe na mwenyekiti wako upeo wenu ni mdogo. Look far, na soma alama za nyakati!!!