Kauli ya mwekezaji wa Simba SC kuhusu usajili

Visingizio hivi ni recycled.Tumekuwa tunavisikia kila msimu sasa. Ohh wazee. Bado wazee hao wanatoa mfungaji bora,mchezaji bora,kipa bora. Sasa unashangaa hao so called vijana kazi yao uwanjani ni nini?Kukata viuno?Kwa sababu unaachwa kwa gepu la pointi 16.Timu inachukua ubingwa na mechi 6 mkononi .Badala ya kujiuliza unalalama ohh ngojea watafungwa kwenye mechi za kimataifa.Luc Eymael wanamsingizia tu hakukosea kasema ukweli.
 
Kapigwa vyakutosha sasa Muddy kagoma kutoa pesa

Ametoa pesa nyingi kwa marefa sasa ameona bora kuhonga marefa kullliko kusajili
 
Sasa wazee wanatufunga 4-1 sisi vijana wetu si mabwege? Kwa nini tusiwabakize tunewaacha karibia 15? Simba wana team nzuri ndo maana wanashinda....sisi tunaikota okota na kuja jifariji huku

Mudi bahili tu timu yake imejaa Wazee kuliko timu nyingine yoyote unawezaje sema haisajili
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Anayepigwa hela anajulikana. Kasajili wachezaji 22 msimu mmoja. Yikpe kweli unatoa pesa?Na sasa inabidi walipe pesa za kumvunjia mkataba. Muungwana akivuliwa msuli huchutama. Tatizo huyo tuliyedhani ana uungwana kumbe "nyani"tu ndio kwanza anapiga makofi.
 
Hapo wanaongezwa wachache saaanaaa akiwemo SHISHIMBI na MORRISON kazi kwisha.
Na vyura wameamua kumchukua SHIBOUB tumewapa bila kwere.
 
Back
Top Bottom