Kauli ya Mwapachu Kuhusu Lowassa

It will take some years for ccm to die! It is still strong and will win the coming election

subiri october kifo cha mende kinaenda kuitokea ccm.. jk from present to oposition political party. sawa sawa na kusema from hero to zero, stay on tune utamskia King Edward Ngoyai Lowasa kwenye bomba atakavyofanya ufundi wake.
 
YEEEEEEEES!!! The time has come and It is now. The stone which was rejected by masons ''LOWASSA'', he is the tool that God has chosen to release Tanzanians from Egypt (CCM). :rockon:😛eace:
 
Everything has the beginning and its end. CCM has been vomited by our Almighty God, that's why they have been blind and arrogant since the election process has started. They are always confident that nobody can cause them to shake. They neglected Lowassa without checking back the consequences.
Provided that this is God's plan to release Tanzanians in CCM's hands, no one of them will be wise until the plan of God of robbing them the ruling stick is fulfilled. And they will continue arguing and fight each other so that Tanzanians can recognize how many times CCMs are devils.


LOWASSA is the Joseph who will release Tanzanians from Pharaoh's hands (CCM) to Canaan (New Tanzania which cares about his people)
 
Ujumbe umewafikia, wataanza kutukana pasipo kutafakari wamedondokea wapi!
 
Kama hujasoma strategic management kwenye huu uzi utakuwa kama mtu anaeosha rungu ndani ya daraja la kirumi
 
Mi maandishi meusi nakua siyaonagi vizuri nashindwa kuchangia
 
Nimependa ushauri huu!! .
.
WANA CCM NISIKILIZENI..!!
Nina ushauri kwa wana CCM wenzangu; Lowasa kuhamia CHADEMA msipaniki. Kama kweli tulimaanisha kuwa hafai, ana uchu wa madaraka, alikiuka kanuni na maadili ya chama, ni mwizi na tena ni fisadi basi inabidi tushangilie kuondoka kwake, kwani kuvuja kwa pakacha sio ndio nafuu ya mchukuzi? Ila kama tulimkata kwa maslahi ya watu wachache na ikiwa tulitumia akili ndogo kulikata jina lake basi itabidi tujilaumu wenyewe kwa lolote tusilolitarajia litakalotokea.
Na tukiendelea kutumia akili ndogo za kudhani tutashinda kwa "magoli ya mikono", basi tunakwenda na maji mchana kweupe!
.
Tukijidanganya kuwa matusi, kejeli, mipasho, maneno ya kwenye kanga na nyimbo za Komba kwamba zitabadilisha huu upepo, pia tutajikuta tunakuwa chama cha upinzani bila hata kujiandaa kisaikolojia. Mwana CCM utakuwa unajichanganya kuushambulia uamuzi wa Lowasa kuhamia CHADEMA kwa sababu kimsingi CCM yetu ilishabariki vijana kadhaa wamshambulie majukwaani ili aonekane hafai na hao vijana wakazawadiwa vyeo. Mtu tuliemuona hafai kwetu inatuuma nini akiondoka kwetu? Ukioa mke kisha ukamtuhumu mbele za watu kuwa ni mzinzi na mshirikina; kisha mkaachana na akaolewa na mume mwingine, unaanzaje kuhangaika nae tena huko alikoenda? Tuwaache wapiga kura waamue kama ni sisi CCM ama UKAWA. .
.
Hata Mh. Mwenyekiti JK alishasema kila mtu ana haki kuongoza hii nchi; tunategemea kushinda lakini haitakuwa ajabu UKAWA wakitwaa madaraka kutokana na makosa yetu kimkakati. Wana CCM tusipaniki, kukomaa kisiasa ni pamoja na kuhimili na kukubali usichotarajia!
Wenu,
Mfurukutwa wa Shina.
😂😂👆
 
Nae si amfate huko. Tumewachoka hawa wazee. Wanafki sana na ujuaji mwingi. Alitaka Kikwete ampe ubalozi tena? Ambebe na swahiba wake Mengi.
 
mwinukai

Kwa kingereza hiki ni seeheeda. Ikumbukwe jamvi ni kwa ajili ya wanajamii tena wa kawaida sana sasa uzi kama huu wa kimombo ni kwa faida ya nani... tukienzi kiswahili kuelilmisha jamii

Ni kwa faida ya wasiolala, wenye kiu ya kujiendeleza kila siku.
 


Siyo wengi wana upeo kama wa kwako.
Endelea kugawa mawaidha.
 
na tano bora ni...january makamba, membe, asha migiro, makufuli, amina salum ali.

miamba yote chali....lowasa, mwandosya, bilal, sumaye, sitta, mwakyembe dah....

Hivvi hawa jamaa walikuwa wanafikiria nini kuchagua watu wao wa pwani, tena wasio na experience? Alafu bado wanaenedelea kututia mchungu, eti wanatuita sisi makapi, oil chafu.... wanazidi kututia hasira tu.


On top of that Magufuli is jus a scapegoat wa kikwete na familia yake, amepewa hicho cheo ili aendelee kuwapa kina membe na familia ya kikwete vyeo.

Na kale kamwimbo kao kamipasho...dah wataisoma namba mwaka huu.
 
hivi wewe jamaa Eng. Livingstone,hiyo "Eng" yako huitendei haki kabisa,sina hakika kama hata ERB kama wanakutambua.
Huu ni uzi wa tano sasa unapost hii kitu.Mbona huonyeshi kuwa umemnukuu nani?Wewe huna cha kuchangia?
 
Nitaongea Kiswahili, lugha ya taifa. Kwa lugha ya biashara, Mjumbe kakosea kutumia neno "divestiture" kwa sababu hilo hutumika unapobadili HULKA ya mfumo. Bila shaka Mzee Mwapachu kaazima lugha ya PSRC ambako divestiture likuwa inatumika ikiimanisha "privatisation", yaani ubinafsishaji.

CCM haibinafsishwi - ingawa kina Lowasa wangependa sana iwe mali binafsi kama ilivyo CHADEMA, yaani mali ya familia mbili tatu tu za Kichagga - CCM ilkuwa inajipanga upya kwa kuachiana madaraka, kumrithi Rais baada ya muda wake kuisha Kikatiba. Mzee Mwapachu angekuwa hodari angetumia neno "SUCCESSION" badala ya divestiture. Kwenye succession huwa hakuna kujivua, wala huoni "core business" na "non-core business": wote waliopo ni core business, shida tu ni kumpata yupi atafuata NYAYO vizuri zaidi.

Lowasa aliachwa precisely kwa sababu alitaka kuifanya CCM iwe biashara, to be taken by the highest bidder. Uamuzi haukuwa mgumu, walisaidia UKAWA wenyewe kwa kuiaminisha jamii kuwa Lowassa ni fisadi. "Baba" wa CHADEMA mpya, Padri W Slaa, ndiye aliyeasisis neno FISADI na kinara wake alimtaja kuwa ni Lowassa. Kama CCM walikosea, je na Father Slaa pia alikosea??

Mlio karibu naye tafadhali mshaurini Mzee Mwapachu asijivunjie heshima yake aliyojijengea siku nyingi. Pia ni ubinadamu na si vibaya tukimtaka awe na fadhila kwa CCM ambacho kama chama tawala ndiyo kilipelekea yeye awe international citizen of repute. Asijiunge na mafisadi, maadui wa wananchi wanaochumia matumbo. Mwapachu na Lowassa waambiwe kuwa Ikulu hainunuliki kwa mapesa.

Narudia: hii ni SUCCESSION, siyo DIVESTITURE, kwa hiyo hakuna haja ya kuangalia hoja zake.

William Marconi.
 
When the voice of people is neglected..then the consiquences will not be measured..it is now the very right time for CCM to die such a painfully death..good by CCM
 
Hicho kiingereza alichotumia Mwapachu ni semantically the best!!! Kwa kukusaidia nitatafsiri KEY NOUN ya hiyo article yake yaani DIVESTITURE! Kwa maana fupi neno hili lina maana ya "Uuuzaji wa hisa anazomiliki mtu katika kampuni ya kibiashara, kwa hiyo mtu huyo anakoma kuwa sehemu ya umiliki wa biashara hiyo". Jambo hili linapaswa kufanywa kwa uangalifu mkubwa na CEO and executive cream ya kampuni husika ili kuepuka maamuzi ya kukurupuka ambayo hayajafanyiwa utafiti wa kina.Mwapachu katumia mantiki ya DIVESTITURE

Huwa nikisoma magazeti ya kiingereza ya kibongo napata tabu sana tofauti na magazeti ya nje sijui walimu wetu wanatufundisha kiingereza kigumu sana!!??
 
It's a miracle,UKAWA has a Midas touch everything they touch turns to gold.UKAWA has transformed overnight what you wrongly call CCM party liability into a core asset.
 

Source?
 
ccm cannot be a business venture but a political party. those who consider ccm as a business venture are the problem and members should not be afraid to get rid of them. the primary objective of a political party should be delivery of good governance that would lead to economic and social development of the general public and not to certain individuals or families in the country. those who want to turn political parties to corporate ventures are the enemies of the people.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…