Kauli ya Murugo siikubabali

murugo ndyo yule hajui tanzania ni

muungano wa tanganyika na zanzibar?
kama ndye sichangii.
 
Na ww uandike vizur bac....................!!!!!!!! Ulikua unawahi wapi???

Sidhani kama ni haraka, ni utaahira tu wa kutopenda kuandika lugha fasaha. MURUGO, KAURI stupid!

Huyu aliyeleta mada atakuwa mtoto wa 'Murugo' anatuzuga tu ili apate maoni yetu
 
One Nineteen Sixty One (1,1961)
Ila leo Hamim alikuwa na hofu sana
pia bajeti imewatoa jasho hasa Cdm
walipowabana kuhusu uongo wao
kwenye matokeo ya kidato cha 4.

We Kenny mkorofiiii et HAMIM unakumbukia ile issue ya mkwawa hata sijui iliishia wapi watu wanayaweza sana
hapa BONGO!!!!!!!YAANI HAKUNA LISILOWEZEKANA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom