Bernard Membe ‏@BernardMembe 2h Serikali ya Malawi iache kutapatapa. Waheshimu Makubaliano yetu ya kuliachia jopo la usuluhishi la SADC lifanye kazi yake
Retweeted by Jakaya Kikwete
ndio maana imenishtua kidogo maana Wamalawi wanatushutumu kuwa tumewazunguka wakati suluisho likiendelea.Isije ikawa Tanzania inafanya Haya kwa nia ya makusudi ya kuwa provoke watu wa Malawi. Maana Hawa watu wa CCM wanaweza kukushangaza wakati mwingine
Wakuu hii iko kwenye 'twitter' ya waziri wa mambo ya nje Mh. Benard Membe. Naomba tusaidiane mawazo na michango juu ya kauli hii. Je kunaweza kuwa na madhara yoyote kidiplomasia?
I am totally lost! Ndilo tamko rasmi la serikali?
Nyerere ametuachia urithi wa majungu tuu na uvamizi wa nchi za watu.
Madame Banda kadeclare wazi hataki usuluhishi wa maraisi wastaafu anaipeleka issue The Hague!
Nyerere ametuachia urithi wa majungu tuu na uvamizi wa nchi za watu.
Nyerere ametuachia urithi wa majungu tuu na uvamizi wa nchi za watu.
tatizo wamalawi wana documents za gavana wa tanganyika kumkabidhi ziwa nyasa gavana wa malawi-nyasaland.sisi tanzania hatuna???utatweet sana bila mafanikioWakuu hii iko kwenye 'twitter' ya waziri wa mambo ya nje Mh. Benard Membe. Naomba tusaidiane mawazo na michango juu ya kauli hii. Je kunaweza kuwa na madhara yoyote kidiplomasia?
The Hague! Anyway, kama UN itaamua kwa kuwapa ziwa lote Malawi kwa kutumia Heligoland - Zanzibar Treaty, tutarejda na kudai kufutwa kwa mataifa ya Rwanda na Burundi kwani mkataba huo unatambua eneo hilo ni sehemu ya Tanganyika. Kagame na Nkurunzinza wanakuwa wakuu wa mikoa ya Rwanda na Burundi mtawalia.