Haya ni mambo yanaamuliwa na wale wanaomlinda Obama.Wao siku zote wanasema kazi yao siyo kujitahidi kumlinda Obama,kazi yao ni kumlinda. Yaani ukifanya interview ya kuwa mlinzi wa Rais,ukiulizwa mtu akimshambulia Obama,akimuua Obama,wewe,kama mlinzi,utafanya nini? Jibu lake siyo kwamba wewe utakuwa mkali sana kwa mtu aliyefanya kitendo hicho,jibu lake ni kwamba wewe ukichaguliwa katika Secret Service,Obama will not die. Kwa hiyo wale Secret Service wanajadili kitu gani kinahitajika ili Rais awe salama. Hawajadili wao watafanya nini kumlinda Rais,wanauliza in a scientific manner,mambo gani yakifanyika Obama atakuwa salama. Kwa hiyo wanaelezana,we have to shut down the airport,we have to shut down dar es salaam port,so that no terrorists may come,we have to make the sun stand still in the sky,so that it may not be dark. Halafu wakimaliza kufanya hizo discussions,ndio wanaenda kutazama kama mambo waliyojadili yanatekelezeka.