Kauli ya Lema

Kauli ya Lema

WAKUU HESHIMA MBELE!

Hii nimeipenda. Single hii inapatikana wapi mazee?

Mambo kama haya Komba na TOT yake hawayawezi kabisa. Na hivi ameanza kusinzia bungeni ndio basi tena.
Msikilizi kamanda Godbless Lema kwa Wana Arusha na Watanzania kwa ujumla..
 
Last edited by a moderator:
WAKUU HESHIMA MBELE!

Hii nimeipenda. Single hii inapatikana wapi mazee?

Mambo kama haya Komba na TOT yake hawayawezi kabisa. Na hivi ameanza kusinzia bungeni ndio basi tena.

Inapatikana Arusha kwenye ofisi za lema..ni kuchangia mfuko aliouanzisha lema
 
Watumia simu hatuipati! Kuna ujanja wa kuipata kwenye mobile phone? Nijuze
 
..................Nimemwaga machozi wanaJF,huyu jamaa ana-spirit ya watu wa South Africa enzi za makaburu,wale waliowahi kufatilia movie kama Sarafina unaweza kunielewa...Real nimepatwa na uchungu,hasira dhidi ya hawa majambazi wa haki na mali zetu CCM....
Mungu tupe uvumilivu.................
 
gud stat,tusivunjike moyo makamanda wote.Wakuu hii kitu ikisambazwa nchi nzima itauza na kitachopatikana kitasaidia mapambano
 
Duuh jamaa mhamasishaji kweli, nikawaida ya mtu ambaye anafanya kazi ambayo anaipenda kwa moyo wake wote na hafanyi kwa kuiga but he is realy in his personality! So touching; may God grant the desires of your heart Lema.
 
Duuh jamaa mhamasishaji kweli, nikawaida ya mtu ambaye anafanya kazi ambayo anaipenda kwa moyo wake wote na hafanyi kwa kuiga but he is realy in his personality! So touching; may God grant the desires of your heart Lema.

Amen and Amen
 
Lema ni mwanamapinduzi wa kweli naamini wajukuu zetu watakuja kumsoma vitabuni. Sina cha kuongeza huyu jamaa ni kiungo muhimu sana chadema. Mungu akupe heri kaka.
 
Nafikiri kipigo alichopata kwa kutolewa na polisi kwenye ukumbi wa jiji pamoja na matumizi ya uongo ya CCM dhidi ya CHADEMA yanamfanya Lema kuwa chuma cha pua. Misukosuko huongeza ujasiri, Jamaa anajua sana ku-connect na voters pamoja na watanzania na ninafikiri CCM wakiona hivi ndiyo wanamwona ni mchochea vurugu. Big up Lema
 
Hili ni Jembe wacha kabisa shotly namkubali sana Lema ni Mpambanaji wa ukweli pia sio mwoga na hana element za unafiki.Big up kwake!
 
Good Lema naomba CDM kwa ujumla na watanzania tujenge spirit hiyo tumenyanyaswa vya kutosha
 
Aisee Mkuu na kweli bwana mdogo anaushuja kweli. Tanzania tunahitaji wafijana kama hawa. Tanzania needs young blood like Godbless Lema. Ni kitu ambae imetokea Arusha guys you should not witness what happened it was terribly frightened. Huyo mtoto wa mkulima should have been in Arusha to witness what they CCM did to the people of Arusha. Alafu anasimama huko Bungeni nakuongea ongo huyo Pinda -- ana kicha kabisa. Sisi tunataka huyo Anna Makina tuna taka atusomea report ya Lema kama alivyo sema kwa ujehuri na kiburi yake kwa Lema aweke kwenye mandishi na sisi Watanzania pia tunataka atusomea wazi wazi. Asilete nakuleta huyo Makinda. Kwanza uSpika awezi inamshinda. Amwashie kiti wenye kiti Sitta.
 
Oyeeee peoples power - mungu ibariki tanzania na mungu ibariki chadema. Rais wetu dr. Slaa - dr yenye hakika na elimu yake.


Oyeeeeeeee peoples power wandugu zangu ndie ngao yetu. God bless chadema daima
 
..Isambazwe hii....huyu Lema ni kati ya wazao wachache wanaotokea katika muongo(decade) au kizazi (generation)kimoja...
 
Back
Top Bottom