Emmani
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 524
- 137
unajua CUF walijifanya wao wanajua sana mambo ya kibasha ubasha. wakaja na zao za kusema popobawa au ngangali na ngunguli. walipelekewa mabahasha ambao kwanza walioanzia kupiga denda miti mikavu huko polini, Janja weeed! usicheza na CCM wewe, ogopa!
Mkuu, hujaeleweka falsafa yako ni ipi katika hili? kulikuwa na watawala wenye nguvu humu duniani, leo hii wapo katika historia! soma alama za nyakati, usiishi wakati uliopita jitahidi kuishi maisha ya wakati uliopo.