PostGE2025 Kauli ya Innocent Bashungwa kwa Rais Samia baada ya mkeka mpya wa baraza la Mawaziri

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Bawabu wa pili

Senior Member
Joined
Nov 14, 2025
Posts
147
Reaction score
432
1763388615783.png

.

Naomba kumshukuru Rais na Amiri Jeshi Mkuu, mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa fursa adimu uliyonipa katika vipindi mbalimbali kuwatumikia watanzania. Naomba nikuahidi tutaendelea kuunga mkono juhudi na maono mazuri ya uongozi wako pamoja na Serikali ya Awamu ya 6 unayoiongoza. @samia_suluhu_hassan

Naomba pia kuwashukuru wananchi na matajiri wangu wananchi wa Jimbo la Karagwe kwa ushirikiano na imani kwangu. Sasa nimepata muda wa ziada wa kukaa jimboni ili kazi iendelee na kwa kasi zaidi.

Kazi na Utu, Tunasonga Mbele.
 
Oya siwaelewi ni baraza feki hamuelewi nini?
 
View attachment 3503273

.

Naomba kumshukuru Rais na Amiri Jeshi Mkuu, mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa fursa adimu uliyonipa katika vipindi mbalimbali kuwatumikia watanzania. Naomba nikuahidi tutaendelea kuunga mkono juhudi na maono mazuri ya uongozi wako pamoja na Serikali ya Awamu ya 6 unayoiongoza. @samia_suluhu_hassan

Naomba pia kuwashukuru wananchi na matajiri wangu wananchi wa Jimbo la Karagwe kwa ushirikiano na imani kwangu. Sasa nimepata muda wa ziada wa kukaa jimboni ili kazi iendelee na kwa kasi zaidi.

Kazi na Utu, Tunasonga Mbele.
 
Abarikiwe sana mhe. Bashungwa, ameonyesha ukomavu wa kisiasa
 
Back
Top Bottom