Kauli ya Donald Trump

Kauli ya Donald Trump

edongwa

New Member
Joined
Dec 5, 2017
Posts
3
Reaction score
1
“We’ve spent $6 trillion in the Middle East, as of two months ago,” said Trump in an interview with the New York Times in April. “Uh, $6 trillion. And yet we can’t fix our own roads and our own highways. And our bridges, which are, in many cases, in very bad shape. And we’re going to have a very big infrastructure plan. And bill. And it’s going to come soon. And I think we’ll have support from Democrats and Republicans.”donald trump ..............................................je yupo sahihi
 
mawazo yake yapo sahihi kwa kuwa naye amefiiria ama wewe unavyowaza
 
Bora akili imemfunguka,why spend a billions of dollars on foreign land while your people at home are dying from lack of social services that could have been taken good care of by those 6b us dollars?

Ameongea vizuri
 
amesahau kuwa huko middle east ndiko wanahodhi natural resources kibao zinazotajirisha makampuni yao makubwa yanayolipa kodi huko marekani? basi afunge base zake za kijesh zilizopo saudi arabia, emirates,iraq,qatar, uturuki na kwngneko mashariki ya kati halafu bajeti zao akajenge barabara
 
Kila Kiongozi ana vipaumbele vyake, Wengine kung'ang'ania uenyekiti anaona sawa tu. Trump kachagua kujenga nchi yake.
 
Back
Top Bottom