Kauli ya CHADEMA mgogoro wa Malawi

Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
120
Kumekuwa na ukimya wa kushangaza kwani watani wa CCM wamekaa kimya kama wananyolewa ili hali mabillion ya serikali yako mbioni kuunguzwa au yameshaanza kuunguzwa na maandalizi ya Vita tarajiwa vya malawi. Tunahitaji kauli ya kutoka chadema ikiwa ni serikali kivuli
 
Kauli ya nini, hakuna vyama vinaenda kupigana ni nchi kwani huko Malawi umevisikia vyama. Watanzania punguzeni ushamba wa vyama mmekuwa navyo kwa miaka 20 sasa.
 
Unajua maana ya Ecoli hebu angalia vizuri kwani nini maana ya serikali kivuli acha ushamba wewe kama CCM inajustfy matumizi na vita isiyo na maslahi lazima tupinge
 
Chadema wakae mbali na mzozo huu unaopelekwa ovyo. Wao waendelee na kuwahamasisha Watanzania kuelewa shida zao zinahusianaje na uwepo wa CCM madarakani. Hakuna kulala mpaka kieleweke ndiyo ilikuwa slogan yao,
NA BADO HAKIJAELEWEKA.
 
Wapeni ziwa lao acha longolongo
 
Kwani Chadema wakiongea wasipoongea maneno yao mbofumbofu tu hamna la maana zaidi ya kuhamasisha migomo
 
Uliza kauli ya CDM kwa haya yafuatayo.
Uonevu wa Jeshi la Police kwa raia.
Kuwaziba mdomo wananchi kwa kukimbizia mahakamani jambo ambalo wananchi wanahitaji maelezo ya kina.
Mikataba mibovu..
Kudotora kwa sekta ya Elimu.. nk..
Suala la vita hakiendi chama kule bali JWTZ ambao wako chini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano,na wahanga wakuu ni mimi na wewe bila kuangalia itikadi ya chama ..
Hao wanaosema wako tayari kwwa vita hautawaona hapa time kikinuka.. Tuwe kitu kimoja upinga vita yeyote kati yetu na majirani zetu.. Majeraha ya vita vya Uganda bado hayajafutika, umaskini tulionao ni sehemu tu athari zilizotokana na vita ile...
 
Hujasoma hata nipashe ya jana serikali ya CCM haijawahi kuacha hata mara moja kulinda mipaka hivyo by an means necessary tutailinda mnasemaje wazee wa migomo hewa
Kwavile CDM hajatoa tamko huenda ndio inamshawishi Joyce Banda Aanzishe vita Nchi isitawalike kwani Joyce wetu yeye anasemaje kwa vile upo nae karibu?
 
Hujasoma hata nipashe ya jana serikali ya CCM haijawahi kuacha hata mara moja kulinda mipaka hivyo by an means necessary tutailinda mnasemaje wazee wa migomo hewa
juzi kati kuna rundo la watu walifia ndani ya lori walikua wametoka nchi jirani wakaingia Tz kwa njia za panya
 
Kwani Chadema wakiongea wasipoongea maneno yao mbofumbofu tu hamna la maana zaidi ya kuhamasisha migomo

Having ceiving ability brings freedom of mind,amka ww m2,ushabiki wa kinyinyiemu ipo siku wengi mtajificha2.
 
Back
Top Bottom