Kauli uchunguzi unaendelea/tumeteua tume ya uchunguzii

evansGREATDeal

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
4,013
2,331
Habari wandugu,
kuna hili swala linalofanyika serikalini nashindwa kuelewa kabisa kwa mwenye uelewa tafadhali msaada maana linakera sana kulisikia kila kukicha
,.neno uchunguzi unaendelea au tumeteua tume ya uchunguzi,...

juzi juzi wakati rais JPM alipoanza kutumbua majipu wale wote ambao wametumbuliwa tuliskia kauli za viongoz kuwa uchunguz yakinifu unaendelea alafu tutawafikisha watuhumiwa mahakamani,...

nawengine wote waliosimamishwa kazi baada ya evidence kupatikana nazo wote uchunguz unaendelea na hatima zao kimya mpaka leo,.

sasa kama mtu umemsimamisha kaz mfano kina masamaki,...na ushahidi upo kuwa wameiba pesa za umma na kupitisha vimemo vya kuruhusu ukwepaji kodi na ushahidi upo dhahili sasa uchunguzi unaofanyika ni wanini?

kigoma kuna sakata la wanajeshi8 kuua mtoto wa shule wa miaka16 kwa kumpiga na polisi imesema wanajeshi hao ni maluten usu,maluteni na makapteni pia na walimuua mtoto kwa kumchoma pasi tumboni na mgongoni na kumpiga sana na pia ushahidi upo kuwa mtoto kafa,.

sasa uchunguzi unaofanywa niwanini badala mahakama ifate mkondo wake?
haya swala la tumbili wetu waliokamatwa uwanja wa ndege evidence zipo na kila kitu kipo wazi,.sasa uchunguzi wanini unaofanyika?

polisi juzi2 apa kampiga dereva risas na ushahidi upo kuwa dereva anajeraha mkononi na alimpiga kwa maamuz binafsi2 eti polisi inasema ngoja tuchunguze tutawajulisha raia wakati evidence zpo na kila kitu kipo waziii,....wakuu
Nashindwa kuelewa kuwa ni kauli ya kuandaa mazngira ya kubebana na kufanya vitu vipotezwe na kuwahadaa raia au ni nini hasa?
mwenye uelewa wandugu

nawasilisha........
 
Utawala mzuri ni ule unaofuta taribu, kanuni na sheria...Kama haki itafuatwa kufanya uchunguzi si tatizo, tatizo ni uchunguzi uchukue decade na still haki ya mtu ipindishwe...
 
Habari wandugu,
kuna hili swala linalofanyika serikalini nashindwa kuelewa kabisa kwa mwenye uelewa tafadhali msaada maana linakera sana kulisikia kila kukicha
,.neno uchunguzi unaendelea au tumeteua tume ya uchunguzi,...

juzi juzi wakati rais JPM alipoanza kutumbua majipu wale wote ambao wametumbuliwa tuliskia kauli za viongoz kuwa uchunguz yakinifu unaendelea alafu tutawafikisha watuhumiwa mahakamani,...

nawengine wote waliosimamishwa kazi baada ya evidence kupatikana nazo wote uchunguz unaendelea na hatima zao kimya mpaka leo,.

sasa kama mtu umemsimamisha kaz mfano kina masamaki,...na ushahidi upo kuwa wameiba pesa za umma na kupitisha vimemo vya kuruhusu ukwepaji kodi na ushahidi upo dhahili sasa uchunguzi unaofanyika ni wanini?

kigoma kuna sakata la wanajeshi8 kuua mtoto wa shule wa miaka16 kwa kumpiga na polisi imesema wanajeshi hao ni maluten usu,maluteni na makapteni pia na walimuua mtoto kwa kumchoma pasi tumboni na mgongoni na kumpiga sana na pia ushahidi upo kuwa mtoto kafa,.

sasa uchunguzi unaofanywa niwanini badala mahakama ifate mkondo wake?
haya swala la tumbili wetu waliokamatwa uwanja wa ndege evidence zipo na kila kitu kipo wazi,.sasa uchunguzi wanini unaofanyika?

polisi juzi2 apa kampiga dereva risas na ushahidi upo kuwa dereva anajeraha mkononi na alimpiga kwa maamuz binafsi2 eti polisi inasema ngoja tuchunguze tutawajulisha raia wakati evidence zpo na kila kitu kipo waziii,....wakuu
Nashindwa kuelewa kuwa ni kauli ya kuandaa mazngira ya kubebana na kufanya vitu vipotezwe na kuwahadaa raia au ni nini hasa?
mwenye uelewa wandugu

nawasilisha........
Soma link Namuona Kikwete ndani ya Magufuli
 
Utawala mzuri ni ule unaofuta taribu, kanuni na sheria...Kama haki itafutawa kufanya uchunguzi si tatizo, tatizo ni uchunguzi uchuke decade na still haki ya mtu ipindishwe...
ni sahihi mkuu na tAFTI NYINGI sana impact zake huwa hawasemi.........
 
Yule ndata aliyemuua Mwangosi uchunguzi hauja kamilika na kila mtu alimuona anamlipulia bomu
Tatizo ndugu...uchunguzi mpaka leo majibu kimya hiii huwa janja ya kupoteza mada kwa wananchi maana swala la mawazo mpaka leo kimya
 
Kunakuwa na maswala ya msingi mfano Ben saa nane mpaka leo kimya eti ukifatilia unaambiwa kuwa uchunguzi unaendelea...
Ila kesi za uchochez kwa mzee wa makinikia jp uchunguzi fasta na majibu ontime
 
Back
Top Bottom