Ndiyo ilivyo usione mtu analia ukazani msiba mwingine furaha kanunuliwa zawadi maana 4yr mme hata underwater hajawahi mletea kama supraisenalo neno hahahaaaaaaa
a
Ndiyo ilivyo usione mtu analia ukazani msiba mwingine furaha kanunuliwa zawadi maana 4yr mme hata underwater hajawahi mletea kama supraise
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]
Kama huwezi ushari jifunze kunyamaza
Kama huwezi jitutumue tuu
[emoji3][emoji3][emoji3]
Kama huwezi ushari jifunze kunyamaza
Kama huwezi jitutumue tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3]hahahaha nijifarague mke mwenzangu anijue haahhhah! tht boy is mine ohh
Hakuna mwanaume wa pekeyako banah, wewe ukiwa na cheti mimi nitampa ticket [emoji125][emoji125][emoji125]hahahaha nijifarague mke mwenzangu anijue haahhhah! tht boy is mine ohh
Labda kumjua kama ana malinda ama hanasalaam kwenu wadau
Hapa najaribu kumtafakari mwanamke na kauli zake zenye kuogofya,mwanamke mnaweza kuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu au ndani ya ndoa lakini siku umkikosana ana kauli yake moja kati ya nyingi ya kusema aaah kumbe ulikuwa haunijui,sasa unatatizika humjui vipi na ushaishi nae na kumvua nguo utakavyo
Au kuna kumjua kivingine wadau?
Akafie mbele huko anioneshe upande wa pili sasa kama sitaki kuuonaunakuwa umemtibua sasa anataka akuoneshe upande wa 2! tulia baba
Ndio tabia zao kumbe
Bora kuweka kwapani ya nini yakukute ununue kamba ngumu bureMkuu umeshengenezwa kitambo kwa hiyo unapewa taarifa ukae mkao wa kula.ukimwaga mboga yeye fasta anamwaga ugali na mpira kati ukiamua kuweka kwapani ruksa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazungumzo yake ya kumsifia huyo jamaa kuwa anajua kuchimbua mihogo ardhini inatoka mizima mizima na huo na jamaa kila bao ni safari ya posta mlandizi
Hakuna mwanaume wa pekeyako banah, wewe ukiwa na cheti mimi nitampa ticket [emoji125][emoji125][emoji125]
Anajua tujoanah NASIKIA UNAJUA SANA HESABU, NI KWELI?