Kauli tata za wanawake

Kuna tabia huwezi zijua mpaka umtibue mtu, ndio maana unaambiwa ukitaka kumjua mtu na tabia zake halisi wewe muudhi vilivyojificha vitajitokeza
 
Wananichanganya wanaposema "nilikosea" na umekaa nae kwa miaka hata miwili ukimjali naye anakusifia kuwa unajali, unathamini wewe ni mwanaume wa kweli
 
Wananichanganya wanaposema "nilikosea" na umekaa nae kwa miaka hata miwili ukimjali naye anakusifia kuwa unajali, unathamini wewe ni mwanaume wa kweli
Inawezekana ulikuwa unajali na kuthamini ila kuna jambo ambalo lilikuwa ni tatizo na ukashindwa kujirekebisha lazima aone kwamba alikosea
Wanasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…