Kauli tata za wanawake

madala mujipa

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
1,421
Reaction score
864
salaam kwenu wadau

Hapa najaribu kumtafakari mwanamke na kauli zake zenye kuogofya,mwanamke mnaweza kuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu au ndani ya ndoa lakini siku umkikosana ana kauli yake moja kati ya nyingi ya kusema aaah kumbe ulikuwa haunijui,sasa unatatizika humjui vipi na ushaishi nae na kumvua nguo utakavyo

Au kuna kumjua kivingine wadau?
 

Mama ni waifu wako kakwambia hivo andaa wosia mkuu anataka kukuwekea sumu kwenye msosi ufe
 
Hii ilishawai nitokea aisee nilimuudhi demu mmoja akaniletea hizo mambo mara ooo uniju blaa blaa kibao mwanaume nikaomba msamaha lakini wapiii ila saiv ananitafuta mwenyewe [emoji3] [emoji3] na mm nazingua

[emoji745]%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…