Kauli TATA za Wabunge kutoka BUNGENI

Kauli TATA za Wabunge kutoka BUNGENI

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,433
[h=3]HIZI NDIZO KAULI ZA WABUNGE ZILIZOWAACHA MIDOMO WAZI WATANZANIA TOKA BUNGE HILI LIANZE[/h]

“Kwa kuwa wanaume wengi wanabaka, kifunguliwe kituo wafundishwe kutongoza.”

[h=3]Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Leticia Nyerere[/h]


lusinde-livingstone.jpg

‘‘Kuna wabunge ambao wana mimba sizizotarajiwa bungeni...”
Mbunge wa Mtera (CCM), Livingstone Lusinde



Anna%2BMagreth%2BAbdallah.JPG


“Sikufurahishwa na kauli ya Lusinde kwamba tuna mimba sizizotarajiwa.”
Anna Abdallah (Viti Maalum, (CCM)



mbungerombo.jpg


“UDOM (Chuo Kikuu cha Dodoma) kuna udini wa hali ya juu, wanafunzi wa dini tofauti hawalali chumba kimoja.”
Mbunge wa Rombo (Chadema), Joseph Selasini



Peter-Msigwa1.jpg


“Serikali ina tatizo kwa kuwa kuna akili ndogo inatawala vichwa vikubwa.”
Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa:



nkamia.jpg

‘‘Siongei na mbwa bali naongea na mwenye mbwa.”
Mbunge wa Kondoa Kusini (CCM), Juma Nkamia



1644.jpg


‘‘Mambo mengi nchi hii hayaendi kutokana na serikali pumbavu, hatuwezi kuwa na waziri wa elimu boya...”
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi



Ali+Kessi.JPG

“Serikali iruhusu raia wa Tanzania walime bangi wapate fedha za kigeni.”
Mbunge wa Nkasi (CCM), Ally Kesi


 
Haa.. Bujibuji ,kama kauli ya Serukamba haimo kwenye orodha mie najiondoa kwenye huu uzi :nono:.
 
Last edited by a moderator:
Serukamba plizzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Bujibuji mkuu mbona umependelea hakuna Serukamba, Ndugai, Mwigulu, Wassira. Balanzisha mambo bana.
 
Ni Mbunge wa Kitanzania aliyepitia shuleni,akaenda Chuoni sijui chuo gani kwani hata taaluma yake siijui,akaunganisha na Malezi ya Nyumbani kutoka kwa Baba,Mama,Babu,Bibi,Shangazi na Mjomba leo hii bila kujali hayo yote anautangazia Ulimwengu kwa kupitia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba ni maarufu wa Matusi tena kwa Lugha za kuiga?.Kama ndiyo hivyo basi ngoja nami niige kidogo kwa kuwatukana wale wote mliompigia kura Shame on you all.
 
Hawa jamaa wanajifuza wapi haya maneno ...?
 
vipi ile alotoa lusinde kuwa Tanzania ni nchi masikini kwasababu tumeweka picha ya nyoka kwenye hela??
 
Back
Top Bottom