Kauli tata za Mama Salma Kikwete

Kauli tata za Mama Salma Kikwete

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,210
Reaction score
4,178
Akiwa Kwenye Mkutano wa Kumnadi Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Bw Magufuli Jana Mkoani Lindi. Mama Salma Kikwete Alitoa Kali Ya Mwaka.

Pale Alipo Sema Ukiona Majumba Yamejengwa Ujue Ni ccm. Ukiona Watu Wanamiliki Magari Ujue Ni ccm, Ukiona Watu Wanamiliki Simu Ujue ni Ccm. Ukiona Vitu vyote Ujue ni CCM.

Nikajiuliza Swali. Kumbe Hawa Viongozi Wetu Wanalinganisha Maendeleo Yao Na Familia Zao Na Kudhani Wananchi Maskini wa Nchi Hii nao Wanalingana Nao?

Ndiyo Maana Wanaweka Kodi Mpaka Kwenye Vitu Vya Msingi Kabisa Vinavyo Mgusa Moja Kwa Moja Mtanzania Maskini?

Sasa Naanza kuelewa Lugha ya Mke Wa Rais Watunisia Aliye Ondolewa Madarakani Kwa Nguvu Ya Uma.

Pale Wananchi Wake Walipo Paza Sauti Ya Kuomba Msaada Kwa Serikali Yao Juu Ya Ugumu Wa Maisha Unaopelekea Kushindwa Kumudu Hata Kununa Mkate Wa Kunywia Chai.

Mama Akawajibu Kwa Dharau Kama Wameshindwa Kununua Mkate Wanunue Keki.

Akidhania Kwamba Yeye Ana Kula Mikate Ikulu Na Kusaza Basi Na Wananchi Wake Uishi Hivyo Hivyo.

Jamani Ni Vyema Viongozi Wetu Wakajua Shida walizo Nazo Watanzania Na Umaskini Ulio Kithiri Ndani Ya Jamii Yetu Ya Watanzania,

Viongozi Wetu Wa Chama Na Serikali Wasidhanie Maisha Na Utajiri Walio Nao Wao Na Jamaa Zao Ndiyo Hivyo Hivyo Na Watanzania Walivyo.

Wakumbuke Watanzania Walio Wengi Kwa Sasa Wanashindwa Hata Kupata Mlo 1 Wa Siku,

Wakumbuke Kwamba Watanzania Walio Wengi Wanashindwa Kujenga Nyumba Bora, Kutokana Na Serikali Kulundika Kodi Kubwa Kwenye Vifaa Vya Ujenzi.

Viongozi Wajue Watanzania Wengi Wanashindwa Kumiliki Usafiri Kutokana Na Lundo La Ushuru Uliowekwa Na Serikali Kupitia TRA.

Ifikie Maali Serikali Ijue Kwamba Kazi Ya Kuwarahisishia Wananchi Wake Na Kuwaletea Maisha Bora Inatokana Na Utashi wa Serikali Yenyewe Na Viongozi Wake.

Hivyo Basi Sisi Kama Wananchi Tunaitaji Matokeo Bora Na Serikali Yenye Kujali Utu Wa Watu inao Waongoza.

Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Africa Tudumishe. Haki. Amani. Utu Wetu na Mshikamano.
 
Sidhani kama amekusikia maana sikio la kufa halina dawa!
 
Akiwa Kwenye Mkutano wa Kumnadi Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Bw Magufuli Jana Mkoani Lindi. Mama Salma Kikwete Alitoa Kali Ya Mwaka.

Pale Alipo Sema Ukiona Majumba Yamejengwa Ujue Ni ccm. Ukiona Watu Wanamiliki Magari Ujue Ni ccm, Ukiona Watu Wanamiliki Simu Ujue ni Ccm. Ukiona Vitu vyote Ujue ni Ccm.

Nikajiuliza Swali. Kumbe Hawa Viongozi Wetu Wanalinganisha Maendeleo Yao Na Familia Zao Na Kudhani Wananchi Maskini wa Nchi Hii nao Wanalingana Nao?

Ndiyo Maana Wanaweka Kodi Mpaka Kwenye Vitu Vya Msingi Kabisa Vinavyo Mgusa Moja Kwa Moja Mtanzania Maskini?

Sasa Naanza kuelewa Lugha ya Mke Wa Rais Watunisia Aliye Ondolewa Madarakani Kwa Nguvu Ya Uma.

Pale Wananchi Wake Walipo Paza Sauti Ya Kuomba Msaada Kwa Serikali Yao Juu Ya Ugumu Wa Maisha Unaopelekea Kushindwa Kumudu Hata Kununa Mkate Wa Kunywia Chai.

Mama Akawajibu Kwa Dharau Kama Wameshindwa Kununua Mkate Wanunue Keki.

Akidhania Kwamba Yeye Ana Kula Mikate Ikulu Na Kusaza Basi Na Wananchi Wake Uishi Hivyo Hivyo.

Jamani Ni Vyema Viongozi Wetu Wakajua Shida walizo Nazo Watanzania Na Umaskini Ulio Kithiri Ndani Ya Jamii Yetu Ya Watanzania,

Viongozi Wetu Wa Chama Na Serikali Wasidhanie Maisha Na Utajiri Walio Nao Wao Na Jamaa Zao Ndiyo Hivyo Hivyo Na Watanzania Walivyo.

Wakumbuke Watanzania Walio Wengi Kwa Sasa Wanashindwa Hata Kupata Mlo 1 Wa Siku,

Wakumbuke Kwamba Watanzania Walio Wengi Wanashindwa Kujenga Nyumba Bora, Kutokana Na Serikali Kulundika Kodi Kubwa Kwenye Vifaa Vya Ujenzi.

Viongozi Wajue Watanzania Wengi Wanashindwa Kumiliki Usafiri Kutokana Na Lundo La Ushuru Uliowekwa Na Serikali Kupitia TRA.

Ifikie Maali Serikali Ijue Kwamba Kazi Ya Kuwarahisishia Wananchi Wake Na Kuwaletea Maisha Bora Inatokana Na Utashi wa Serikali Yenyewe Na Viongozi Wake.

Hivyo Basi Sisi Kama Wananchi Tunaitaji Matokeo Bora Na Serikali Yenye Kujali Utu Wa Watu inao Waongoza.

Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Africa Tudumishe. Haki. Amani. Utu Wetu na Mshikamano.

Mimi naona kama hakukosea kusema hivyo. Lakini pia alitakiwa aseme;
Ukiona watu wana njaa basi ujue ni CCM
Ukiona watu wanaua ndugu zetu albino basi ujue ni CCM
UKiona mgao wa umeme basi ujue ni CCM
Ukiona watu wanakufa kwa kipindu pindu basi ujue ni CCM
Ukiona rushwa na ufisadi umezidi basi ujue ni CCM
Ukiona hospitali hakuna dawa basi ujue ni CCM
Ukiona watoto wetu wanasoma chini bila madawati ujue ni CCM
Ukiona hakuna maji basi ujue ni CCM. Ni kweli ukiona kila kitu basi ni CCM.
 
Hawa ndio wanadhani maendeleo ya nchi hii yameletwa na CCM.

Kumbe ni sawa na kusema kwa miaka 54 hatukuwa na rais.
 
ukiona barabara mbovu ujue ni ccm
ukiona shule hakuna madawati,vitabu,walimu na mahabara ujue ni ccm
ukiona maji hakuna ujue ni ccm
 
Na ukiona watoto wanakalia matofali au wanakaa chini mashuleni ujue ni ccm, na ukiona hakuna madawa mahospitalini ujue ni ccm na ukiona nchi inazidi kuangamia na hakuna maendeleo ya maana ujue ni ccm na ukiona kuna mgao wa umeme ujue ni ccm :teeth:
 
Mie nalia na VYAMA VYETU vya ushirika, KUMBE ccm ndio waliua, leo hii MKULIMA anatembelea vidole, MUNGU yupo.
 
.... Ukiona kampuni za simu zimeshusha MB 8 adi MB 1 ujue ni ccm
.......................
......................
VIVA UKAWA!!!
 
mbavu zangu jamani..!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
uwwwi....!!!!
kumbe kila kitu ni nyinyiemu ndo wamesababisha!
OK...pamoja na hayo kura yangu inaenda kwa Lowassa!
 
Mimi naona kama hakukosea kusema hivyo. Lakini pia alitakiwa aseme;
Ukiona watu wana njaa basi ujue ni CCM
Ukiona watu wanaua ndugu zetu albino basi ujue ni CCM
UKiona mgao wa umeme basi ujue ni CCM
Ukiona watu wanakufa kwa kipindu pindu basi ujue ni CCM
Ukiona rushwa na ufisadi umezidi basi ujue ni CCM
Ukiona hospitali hakuna dawa basi ujue ni CCM
Ukiona watoto wetu wanasoma chini bila madawati ujue ni CCM
Ukiona hakuna maji basi ujue ni CCM. Ni kweli ukiona kila kitu basi ni CCM.

Niliposikia tu hiyo statement ya ukiona vitu vyote basi ujue ni CCM, mara moja nikajiuliza hivi huyu mama amefikiri kwanza kabla ya kutamka hayo maneno, anajua madhara yake? Lakini baadaye nikajisemea moyoni ukiona umaskini wa kutupwa kwa watanzania ujue ni CCM.
 
Mimi naona kama hakukosea kusema hivyo. Lakini pia alitakiwa aseme;
Ukiona watu wana njaa basi ujue ni CCM
Ukiona watu wanaua ndugu zetu albino basi ujue ni CCM
UKiona mgao wa umeme basi ujue ni CCM
Ukiona watu wanakufa kwa kipindu pindu basi ujue ni CCM
Ukiona rushwa na ufisadi umezidi basi ujue ni CCM
Ukiona hospitali hakuna dawa basi ujue ni CCM
Ukiona watoto wetu wanasoma chini bila madawati ujue ni CCM
Ukiona hakuna maji basi ujue ni CCM. Ni kweli ukiona kila kitu basi ni CCM.

attachment.php
 
Ukiona push up ni ccm?
Ukipata mtoto kama Diamond ni ccm?
Ukikosa kazi ni ccm?
Umeme ukikatika ni ccm?
Ukijifungulia chini hospitality ni ccm?
Watoto wakitaka chini darasani ni ccm?
Mishahara kiduku ni ccm ? N.k
 
Kwani na wewe una vaccum kichwani?maana na wewe ni binadamu!

Naona watu wanamwaga madhaifu ya mama kwa hiyo umepigiwa simu uingie haraka kupunguza dhahama. Mwambie mama siasa yeye hawezi amefuata tu fursa na kutaka umaarufu.
 
Back
Top Bottom