Kauli tata Mei Mosi 2019

mshanajr huyo mtoto mwenye miwani wa pili kutoka kushoto anafanyia kazi halmashauri ipi Tafadhali.?
 
Shida nchi haindeshwi kwa kanuni na sheria ila kwa amri kutoka kwa mtu mmoja. Kupanda kwa mshahara na madaraja kwa watumishj ipo kisheria ila kwa sababu ya ubabe mtu anaamua tu kuongea wafanyakazi. Haya bwana aliueshililia mpini ndio anakula nyama. Tunamshukuru Mungu kwa kila jambo Hakuna kitu kinadumu milele hata hivyo vinavyotengenezwa baadaye vitakuwa na story nyingine na havina Baraka kwa wanaoonewa
 
Hivi kuna wafanyakazi wa dunia hii wanaoteseka kama wafanyakazi wa Tanzania ?
 
Mnamlea wenyewe na wapiga zumari wake mnawajua na mnawachekea.

Angepewa mfano tu labda akili zingemrudi.
 
Wanasali saana na kumtaja Mungu wetu wakati wana mungu wao wa ushetani.
 
Mjanja ni Magu au wafanyakazi?
Mimi sioni kama Magu atafanikiwa kwa hilo,naona ni methali ya tukose sote.Lakini tukikosa sote faida kwa nani?
 
Subira mwenyeee ametutelekeza badala ya kuvuta heri anajivutia kisirisiri tu! Hakika kazi bado tunayo sana watumishi wa umma mbaya zaidi vyama vyote vya wafanyakazi vinaongozwa na Mamluki kwa haya yanayojiri awamu hii kwa wafanyakazi si halali hata kidogo ingekua kwa jirani zetu hapo Kenya tungeona mengi lkn huku hata kutangaza mgogoro tuu na serikali hakuna zaidi ya kulamba miguu ya mtu kweli alieshiba hamjui mwenye njaa akiwa na msafara wake uliosheheni magari ya kutosha hawezi kumbuka shida anazopata Mwl ambae amefanya kazi miaka 9 bila hata kupanda daraja kweli kwetu maendeleo ya vitu ni ya watu
 
.
 
Kama hamkusikiliza hotuba.. basi kasikilizeni.

Picha ya kwanza na ya pili za kujipanga kupozi kupigwa picha.. hakuna lingine.. na unajua hilo. [emoji4]
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Mkuu kaeleweka vZur Sana!mpaka atakapokuwa anakarbia kutoka madarakan,ko ni mwaka 2024!

sijui kajuaje kuwa uchaguz ujao atashinda!!siasa za bongo bwana!!!!
Tuone mwenendo wa chaguzi kuu nchini halaf tuone uwezekano wa CCM kuendelea kuongoza nchi. Naanzia kwa JK, awamu ya kwanza alipata 81%. Awamu ya pili alipata 68%.
Kama baba Jesca aliingia kwa 58%, kwa ambayo ni pungufu zaidi ya handsome wa taifa na anayetajwa kuwa aliwajali wafanyakazi. Kumbuka hapa na kura za wizi ziko humohumo. Safari hii atapata 48%. Kazi itakuwa imekwisha.
CHADEMA popote mlipo mrejesheni W. S aje achukue fomu. TL amekwisha poteza dira na FM atawaliza, msimwamini kabisa FM.
TANZANIA BILA MAGUFULI INAWEZEKANA.
 
Natamani kama mwakani kusiwe na maandalizi ya MEI MOSI KABISA.
 
Maendeleo yaliyopo kila mtanzania anayafurahia, tuendelee kumuunga mkono mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…