Magufuli alikuwa hana upeo wa kuona na kuchambua mambo. Waliokuwa wanampenda na kumwambia ukweli aliwaona ni maadui, waliokuwa wanamsifia kinafiki na hawamtaki, ndiyo aliwaona wa maana. Kama aliuawa basi walitumia mwanya wa korona kwa sababu aliipuuza.