Kauli nzito kuelekea ramadhan

Kauli nzito kuelekea ramadhan

RUKIA MBONDE

Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
64
Reaction score
50
Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zuberi amewaomba wafanya biashara nchini kutopandisha bidhaa mbalimbali kuelekea kipindi hiki cha mfungo wa ramadhani, huku akiwataka Waislamu wote kuwa macho ifikapo mwezi 29 ili kupata taarifa sahihi juu ya mwandamo wa mwezi huo.
 
Haongei mpaka ramadhani,baada ya hapo ataongea Sikh ya kukaribia iddi,kisha iddi kubwa
 
Back
Top Bottom