KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,291
Napendekeza kauli mbiu wakati wa mbio za uchaguzi kwa UKAWA na hasa CHADEMA iwe "Safari ya uhakika" kwani safari ya matumaini tunayo tangu uhuru.
Hata mgonjwa ukimpa vidonge achague vilivyoandika "Vidonge na matumaini na Vidonge vya uhakika", atachagua vidonge vya uhakika kupona.
Hata mgonjwa ukimpa vidonge achague vilivyoandika "Vidonge na matumaini na Vidonge vya uhakika", atachagua vidonge vya uhakika kupona.