Kwa utafiti wangu wa kina nilioufanya inaonekana mashabiki wengi hawakupenda kauli mbiu yao mpya kuelekea mechi yao dhidi ya Al Ahly.
Wengi wao wameonekana kuwa na hofu kubwa sana ya matokeo dhidi ya wageni hao kiasi kwamba kauli mbiu ikashindwa kuinua hamasa ya ushindi. Wapo wengi wanao amini kuwa kauli mbiu isiyo na uhalisia umepelekea upweke wa hamasa miongoni mwa mashabiki wa timu hiyo.
Pia, walio wengi wanaamini kauli mbiu hiyo huenda ikawasaidia kupata sare dhidi ya wababe hao wa bara la Afrika, lakini uhalisia ni kuwa ni vigumu mno kupata sare dhidi yao ukizingatia walipumzisha wachezaji wengi dhidi ya mechi yao na Al Mereikh.
Je, ni kwa kiasi gani unadhani hizi kauli mbiu za simba zina uhalisia na uwezo wao wa kuzalisha matokeo dhidi ya vigogo vilivyopo kwenye kundi lake?
Hakuna namna mikia wapigwe tuKumbe wanaikubali simba watapigwa tu hatasimba iliwapumzisha ondoa hofu
Umekalia nini Mkuuu, angalia usiloe nnyaHuwa siku zote nasema mashabiki wa simba ni watu wa hovyo sana, wasio na elimu, wanamaneno machafu wewe ndiyo unaongeza namba kwenye list
Vikauli mbiu vipi ivyo vya kipuuzi"Daima mbele nyuma mwiko" ama kaulimbiu ipi?Hivi vikauli mbiu ni upuuzi kama upuuzi mwingine
Simba ikipata ushindi huwa unaumia sana, na kwa Simba hii itakusababishia SONONA.Hivi vikauli mbiu ni upuuzi kama upuuzi mwingine
yani yanga wakitaka ubingwa wa ligi mpaka hapo watakapo badilisha hilo lislogan lao "daima mbele nyuma mwiko"Vikauli mbiu vipi ivyo vya kipuuzi"Daima mbele nyuma mwiko" ama kaulimbiu ipi?
Nimesoma na kurudia tena sijaelewa main point yako ni ipi!! Ni kaulimbiu ndiyo itakayopelekea Simba kutokupata point 3 ama ni ubora wa team ya Al ahly??Kwa utafiti wangu wa kina nilioufanya inaonekana mashabiki wengi hawakupenda kauli mbiu yao mpya kuelekea mechi yao dhidi ya Al Ahly.
Wengi wao wameonekana kuwa na hofu kubwa sana ya matokeo dhidi ya wageni hao kiasi kwamba kauli mbiu ikashindwa kuinua hamasa ya ushindi. Wapo wengi wanao amini kuwa kauli mbiu isiyo na uhalisia umepelekea upweke wa hamasa miongoni mwa mashabiki wa timu hiyo.
Pia, walio wengi wanaamini kauli mbiu hiyo huenda ikawasaidia kupata sare dhidi ya wababe hao wa bara la Afrika, lakini uhalisia ni kuwa ni vigumu mno kupata sare dhidi yao ukizingatia walipumzisha wachezaji wengi dhidi ya mechi yao na Al Mereikh.
Je, ni kwa kiasi gani unadhani hizi kauli mbiu za simba zina uhalisia na uwezo wao wa kuzalisha matokeo dhidi ya vigogo vilivyopo kwenye kundi lake?
Bora ya simba je wewe utopolo unawaogopa mbeya city mpaka unalilia mbereko za marefaKwa utafiti wangu wa kina nilioufanya inaonekana mashabiki wengi hawakupenda kauli mbiu yao mpya kuelekea mechi yao dhidi ya Al Ahly.
Wengi wao wameonekana kuwa na hofu kubwa sana ya matokeo dhidi ya wageni hao kiasi kwamba kauli mbiu ikashindwa kuinua hamasa ya ushindi. Wapo wengi wanao amini kuwa kauli mbiu isiyo na uhalisia umepelekea upweke wa hamasa miongoni mwa mashabiki wa timu hiyo.
Pia, walio wengi wanaamini kauli mbiu hiyo huenda ikawasaidia kupata sare dhidi ya wababe hao wa bara la Afrika, lakini uhalisia ni kuwa ni vigumu mno kupata sare dhidi yao ukizingatia walipumzisha wachezaji wengi dhidi ya mechi yao na Al Mereikh.
Je, ni kwa kiasi gani unadhani hizi kauli mbiu za simba zina uhalisia na uwezo wao wa kuzalisha matokeo dhidi ya vigogo vilivyopo kwenye kundi lake?
Unateseka ukiwa mkoa ganiKwa utafiti wangu wa kina nilioufanya inaonekana mashabiki wengi hawakupenda kauli mbiu yao mpya kuelekea mechi yao dhidi ya Al Ahly.