Kauli Mbiu ya MMU 2014 ni nini?

Kauli Mbiu ya MMU 2014 ni nini?

Simplicity.

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,636
Reaction score
1,664
Kauli mbiu ya MMU mwaka huu ni ujumbe gani? Au kila mtu ana wa kwake? Kama kila mtu ana ujumbe wake ni upi? Je unaweza kuwashirikisha wana MMU ujumbe wako wa mwaka 2014?

Yangu ni hii:

“By wisdom a house is built, and through understanding it is established; through knowledge its rooms are filled with rare and beautiful treasures.”
Proverbs 24: 3 - 4.
 
Huo juu hapo wala sio ujumbe wako ume kopi na kupesti. Embu andika wako utanoga. Mfano angalia Signature yangu.
 
Kauli mbio/mbiu ya mwaka!!!!

!!! Wanaume waache kulialia kuhusu kutendwa na wanawake, we must be men enough!

!!! Wanawake waondokane na dhana ya kutumia mbunye zao kama sehemu ya kitega uchumi, they must be brave enough to stand on their own!

!!! Mwisho, ''Enyi wanawake, mnaganya papuchi hadi inatisha'' hivi mnaweza kupunguza? manake hii kasi inatisha...
 
"Mithali 22:6" Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.
Hii ndiyo kauli mbiu yangu 2014.

 
Jukwaa libadilike kidogo vile vimada visivyo na mafunzo ingekuwa vyema sana mods waviondoe au waviwekee sub forum maana 2013 vilitamalaki sana hapa...
 
kuheshimiana kuchukue nafasi baina yetu ....
 
Kauli mbiu ya MMU mwaka huu ni ujumbe gani? Au kila mtu ana wa kwake? Kama kila mtu ana ujumbe wake ni upi? Je unaweza kuwashirikisha wana MMU ujumbe wako wa mwaka 2014?

Yangu ni hii:

"By wisdom a house is built, and through understanding it is established; through knowledge its rooms are filled with rare and beautiful treasures."
Proverbs 24: 3 - 4.

Mkuu, binafsi sina hakika kama MMU huwa wanatoa kauli mbiu kila mwaka ya kutembea nayo mwaka mzima. Ila binafsi, natamani MMU iwe na kauli mbiu au ifocus kwenye kuendelea kusaidia wanajamii specifically wana MMU kimawazo kwa kuanzisha mada zenye kuleta tija na pia kwa wale wanaoomba ushauri, basi tuwashauri kwa moyo mmoja ili kwa namna moja au nyingine kupunguza stress na matatizo waliyonayo kutokana na magumu wanayopitia.

Utani uruhusiwe ili kunogesha jukwaa, ila usipitilize na kugeuza jukwaa kuwa kijiwe cha kupigia porojo. Waanzisha mada nao waanzisha mada zenye mashiko na si za kutunga kichwani au za uongo just kupima na kusumbua akili za watu, tabia hizi zinakera.
Ila kumbuka kuwa mabadiliko, huanza na wewe na mimi, kila mtu achukue nafasi kwa zamu yake.

Happy New Year 2014!

HP
 
ufanisi wa chochote kile ambacho nataka nifanikiwe unaaza na mimi..
 
Mapenzi si kila kitu lakini yana nafasi ya pekee katika maisha.
 
"Mapenzi sio vita, tusijitoe mhanga kama akina mushi"

- Mapenzi bila bastora inawezekana
 
Kweli mbiu iwe inahamasisha watu waache u chronic bachelor
 
"I haven't spoken to my wife in years. I didn't want to interrupt her."
give a beak !!
 
Back
Top Bottom