Kauli mbiu ya Dr. Magufuli

Kauli mbiu ya Dr. Magufuli

Wakuu,

Tafadhali mwenye kauli mbiu ya Mgombea wa Uraisi-CCM Dr Magufuli. Naomba atuwekee!
wizi na ufisadi mbele kwa mbele kurudi nyuma mwiko.na anaanza kwa kupitisha katiba ya mtemi chenge.
 
Hii nimeipenda sana, kwa kauli mbiu hiyo(Pigeni Mbizi) watanzania tuanze kujifunza kuogolea sasa.


Yaani mtu mzima unakwenda kumpigia kura binadamu kama huy😵ct.2015 ndiyo nitapata jibu kuwa Kigamboni wako mazuzu kiasi gani.

Tunalipa Kodi ya mapato ya 170.000 kianachozidi hapo 12% (PAYE).Ukiacha hiyo makodi mengine kedekede .



[h=3]Kitanzi cha Magufuli - Home[/h]
Kauli inayodaiwa kuwaudhi wananchi hao ni ile iliyotolewa na Waziri Magufuli Januari Mosi, mwaka huu, alipozungumza na wananchi wa Kigamboni kuhusu nauli hiyo mpya na kuwaambia kuwa asiyetaka kulipa nauli hiyo apige mbizi baharini kuzunguka Kongowe kuingia katikati ya jiji au arudi kijijini akalime


Pia baadaye siku hiyo hiyo, akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za wizara hiyo, alisema yeyote asiyetaka nauli hiyo mpya kutozwa, anunue kivuko chake na akitaka akipe jina la chama chake cha siasa kisha atoe huduma hiyo kwa Sh. 100 au bure ilimradi aende kwake (waziri) kupata kibali cha kutoa huduma hiyo.


Anasema wananchi wa Kigamboni wanapinga ongezeko la nauli hizo kwa sababu mbalimbali, ikiwamo vivuko na nauli zake kutawaliwa na sheria ya Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini Nchini (Sumatra).

Pia masuala ya nauli yanatawaliwa na kanuni ambazo zilichapishwa kwenye Gazeti la Serikali namba 92 la Februari 26, mwaka juzi.
 
Vunja nyumba za road reserve,uza nyumba za Serikali kwa matajiri
Hili la kuvunja nyumba ambazo zimejengwa barabarani namuunga mkono.na kama akiendelea na msimamo wake wa kufuata sheria mwaka 2020 Mungu akiniweka hai Kura yangu anayo
 
KIPANYA.jpg


Duh sijui zinauzwa wapi Mkuu.

Na zinafaa ziboreshwe Kama vipi Pigeni Mbizi by Magufuli.
 
Hyo ndo kauli mbiu
 

Attachments

  • 1436719518836.jpg
    1436719518836.jpg
    29.5 KB · Views: 349
Nchi hii bwana inahitaji NIDHAMU tu period Napendekeza atumie hii: "MIMI NIPO TAYARI KUCHAPWA VIBOKO NCHI ISONGE MBELE. JE WEWE?"
 

Kwani hukumsikia akihitimisha kuomba kura?

"Alimselema halija alimselema halija''
hapo upo? Wazee kama akina Mzee Mwanakijiji wanaweza kutusaidia sisi vijana kufahamu anamaanisha nini.

Maana kwa ufahamu wangu hizi nyimbo nimepata kuzisikia toka kwa wanajeshi wakati wa mazoezi.


Huo ni wimbo maalum wa kisukuma huimbwa hivi aliselema aleja aliselema aleja mchaka mchaka chiinja!!
Ni wimbo wa kuhamasisha kutokata tamaa hata kama kazi ufanyayo ni ngumu kiasi cha kukufanya uchoke, lakini ukang'ang'ana nayo mpaka mwisho!!
 
Huo ni wimbo maalum wa kisukuma huimbwa hivi aliselema aleja aliselema aleja mchaka mchaka chiinja!!
Ni wimbo wa kuhamasisha kutokata tamaa hata kama kazi ufanyayo ni ngumu kiasi cha kukufanya uchoke, lakini ukang'ang'ana nayo mpaka mwisho!!


We ndiyo umemalizia vizuri !
mchaka mchaka chiinja!!
Kauli ya Raisi mtarajiwa hiyo.Kweli CCM hamjambo ,huku Goli la Mkono refa akilikataa ni kuchinja siyo?
 
"Wachaga hawatachukua vitalu vyetu vya gas na kazima walipe kodi"
 
Back
Top Bottom