Kati ya watu waliofurahia ujio wa JPM ni mstaafu Ben Mkapa. Yaani anampenda sana huyu jamaa. Ndiyo maana akamfanya hadi kuchukiwa na awamu ya nne alipoingia na kumpeleka kwenye mifugo na kitoweo akijua atammaliza. Jamaa akaonesha ni jembe kwani alishine. Pia amesaidia sana kumpandisha chati JK kwenye mambo ya ujenzi wa barabara.
Kwa hali ilivokuwa wakati anaomba kura ni kama hakutarajia vile,, na sauti ilikuwa na hofu hivi...hata hapakuwa na kaulimbiu,ikawa tiamajitiamji flani hivi... kidogo aseme 'sikujiandaa kuwa rais ila nitumieni mnavotaka... japo alisema nitumeni...