Tetesi: Kauli iliyomponza Husna Mwilima kukatwa uteuzi pamoja na kushinda kura za maoni

"Mmenunua ndege ila wahudumu wenu ni wabaya hawana mvuto. Mimi mwenyewe ni mzee ila nimewazidi uzuri wahudumu wa ATCL".. Hii kauli ilimuuma sana Mwenyekiti. Sasa utasugua benchi hadi 2026.
Jimboni kwake ndio hawataki Hata kumsikia!
 
Licha ya kuongoza kura za wajumbe ila panga limekupitia. Chunga kauli siku nyingine.
Alitimiza wajibu wake wa kibunge wa kuisimamia na kuishairi serikali. Huyu anastahili. Kinyume chake ni wale wapongezaji ambao hawatusaidii chochote.
 
Mwenye picha ya Husna Mwilima please
Anaitwa Hasna Mwilima
images.jpg
 
Simuungi mkono jiwe katika 99℅ ya maamuzi anayoyafanya ila kwa kauli hiyo hata mimi ningemkata tu. Kauli ya kipumbavu na yenye umalaya ndani yake kutoka kwa mama mtu mzima. Sipati picha wale wafanyakazi walijisikiaje!
Kweli kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom