Tizzo G
Member
- Jun 9, 2012
- 24
- 14
Ama kweli CHADEMA tunaanza na MUNGU kwa kila jambo na tunamaliza na mungu! Suala la zitto CHADEMA tulianza na mungu na tutamaliza na mungu! Zitto ni msaliti mkubwa sana na hata ukifuatilia kufungwa kwa gazeti la mwanahalisi zitto alihusika kutokana na mwanahalisi kutoa taarifa za mawasiliano yaliyofanyika kati ya zitto na Rostam. Zitto hafai kuwa ndani ya chama tena!