Kauli hii unaielewaje?

Pwenti 100% unajua inakera sana kupotezeana muda???mi ninachojua wawili walikusudiwa wawe pamoja kwa maan ya kwamba waone kuwa yule aliye naye ndio mzuri kuliko watu wote duniani sasa hayo mengine sijui ya wapi?
 
Mijitu mingine imeoa/kuolewa pete wanaficha home kwa kizingizio zinawabana, kumbe lengo ni kudanganya vijana sijaolewa/sijaoa huu ni ukatili mkubwa sana kwani unacheza na hisia siku akipata taarifa na muda uliompetezea ndio tunasikia wamejiua, wanaamua kuwa wahuni/malaya maisha yao yote, wanaamua kuwa waasi hata kwa jamaa zao kumbe kisa ni muuaji mmoja ametumia uongo kama bastola ya kuangamiza wenzie. Pamoja na ugumu uliopo ila tafadhali kama huna mpango kimaisha na ke/me mwambie lau baada ya kipindi kifupi cha mahusiano yenu kwani kama umeshatimiza tamaa zako mwambie mwenzio ajipange kimaisha. Tena wengine wana wivu kuliko hata waume/wake ila ni usadukayo tuuuuuuuuuu.
 
Ila umechangia vizuri japo una hasira; sijui ni kwa sababu gani
 
Nafikiri na yeye anawanaume wengine zaidi ya wewe........anajaribu kukupa msg lakini humwelewi....
 
Miaaaaaaa %%%%%%%%%% an no addition mkuu.
 
Ila umechangia vizuri japo una hasira; sijui ni kwa sababu gani

Jamaa yangu kweli nina hasira sio kwamba nilishawahi kutendwa laaaaaaaaaaaaa!!!! ila hawa binadamu wamechangia ndg zetu wengi kupotezewa muda kimaisha.....Kuna jamaa yangu alikuwa na msichana akamdanganya zaidi ya miaka 10, msichana akasoma na kupata kazi, ktk kipindi hiki walijitokeza waoaji kibao ila jamaa alisisitiza ataoa, hata mimi nilimshauri akanidhibishia hilo, msichana akamtunza kama mme wakati akisoma then baada ya jamaa kumaliza na kula mshahara akamwambia ameshazeeka na kuoa mwingine....Yule msichana hadi leo kama hazipo zipo, yule jamaa nilimtakia maisha mema hadi leo sitaki hata kuonana na sura yake. Huu ni ukatili mkubwa sana kama unataka kugegeda tuu hakikisha after a while unampa mwenzio go ahead sio kungangania kama ruba wakati huna mpango nae.
 
Naomba nimsaidie Tamatheo kujibu mkuu,unajua ni lazima kuongea kwa hasira kwa sababu mambo mengine yanakera ujue sijui wanaochezea wenzao wanapata faida gani?jiulize ungafanyiwa wewe hivyo ungejisikiaje?
Ila umechangia vizuri japo una hasira; sijui ni kwa sababu gani
 
Last edited by a moderator:
Aiseee, nadhani hapa sio mahala pangu. Bahari imechafuka. Wavuvi jihadharini kwa usalama.
 
nIMEKUPATA ZAIDI; NAFIKIRI HATA WASOMAJI WENGINE WATAKUWA WAMETAMBUA UMUHIMU WA KUWA MKWELI KATIKA MAHUSIANO.
 
Naomba nimsaidie Tamatheo kujibu mkuu,unajua ni lazima kuongea kwa hasira kwa sababu mambo mengine yanakera ujue sijui wanaochezea wenzao wanapata faida gani?jiulize ungafanyiwa wewe hivyo ungejisikiaje?

Si kwamba mimi ndo nimetenda hivyo; naomba nisomeke vizuri. Ila kweli inakera kutendewa hivyo. Swali langu ni je! kauli ya namna hiyo toka kwa mwenza inasound vipi????? Kama ni wewe ungeipokeaje????
 
kama ni mimi ningeapply ule usemi wa wahenga kuwa akufukuzaye......kwa maana hukana mapenzi bila wivu.

Ina maana ungesepa au ???? fafanua Blue G.
 
Hamfai aanze mbele, akatafute mwanaume anayemuheshimu na mwaminifu, maana huyo aliye naye ni fire!

Nata! hufai kuwa mshauri wa mapenzi. Namna hiyo tu amwache????
 
Tutor ngoma inogile
 
Last edited by a moderator:

hahahahaaa kweli kabisa dadangu kuna mwingine ukimuona unakua mdogoo mana kakuzidi kila kitu hadi urefu wa kucha ,ila kuna mwingine unabaki kujiuliza hivi huyu m/ume kalogwa au vipi maana bidada haeleweki kama anaenda au anarudi kote sawa dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…