Una mpenzi wako wa cku nyingi; baada ya muda anaambiwa kuwa una mahusiano na mrembo mwingine - anakugombeza.
Baada ya muda wa kama miezi 6 hivi anagundua kuwa una mahusiano na mrembo mwingine tofauti na yule wa mwanzo.
Anakukalisha chini na kukwambia maneno haya... "..... sweetie, unanitia aibu, bora ya Janny, ni mrembo kweli anajipamba na anapendeza, sasa hili li-Mwajuma halina hata shepu, libaya hivyo; si unanidharirisha mimi?"
Weka comments zako kwenye kauli ya namna hiyo.
lakin ukweli tusemage jamani mweeeh! kuna wanawake wengine ukimkuta mpenzi wako anatoka nao unaweza kupata stroke kwani hawana hadhi ya mpenzi wako kabisaaaaaaaa............ kwamba mvuto hawana, sura ,shepu, usafi nk, lakini kuna wadada wengine mashallah unamkuta mzuri kiasi kwamba mpenzi wako akianguka dhambini unajisema kweli ana haki kwa uzuri wa huyu dada mwache tu aanguke dhambini. ..................................hahahahhahh!
Wema ni mwanamke wa namna ipi? fafanua.
Shtuka ujue huyo hana muda na we tena na maneno yake hayo yanakupa chance ya kumfikiria huyo Mwa j.ila pole sana kama yamekukuta.mtu gani anyekupenda atakupointia mrembo au handsome mwingine?
Ni mwanamke ambaye anapenda kutolewa magazetini:biggrin:Wema ni mwanamke wa namna ipi? fafanua.
Yeap:high5:Akiona hela na daraja la umaarufu faster yuko uchi.
Mchagua jembe si mkulima -- mchagua k si mt...aji
Una mpenzi wako wa cku nyingi; baada ya muda anaambiwa kuwa una mahusiano na mrembo mwingine - anakugombeza.
Baada ya muda wa kama miezi 6 hivi anagundua kuwa una mahusiano na mrembo mwingine tofauti na yule wa mwanzo.
Anakukalisha chini na kukwambia maneno haya... "..... sweetie, unanitia aibu, bora ya Janny, ni mrembo kweli anajipamba na anapendeza, sasa hili li-Mwajuma halina hata shepu, libaya hivyo; si unanidharirisha mimi?"
Weka comments zako kwenye kauli ya namna hiyo.
Ile tuition imaisha..
Hapa katika hali ya kibidamu inawezekana, kwa mfano mimi na Maureen, ila Maureen akisitia natembea na msichana alie mzidi kwa kila kitu mfano ( Angelina Jolie ), itamuuma katika hali ya kawaida, ila kuna kitu atajivunia kutoka kwangu, hata Maureen mwenyewe akajiona alinibahatisha kua na mimi yani anabahati, ila ikatokea nikatoka na msichana ambae ame mzidi kila kitu ni lazima imuume na jiulize mala mbili mbili, hasa akitazama jamii na hata jamii yenyewe inaweza kumuona Maureen si kitu hadi amepinduliwa na ndala ndefu, ila jamii ikijua nimemsaliti kwa Angelina Jolie aaah!
Nitakuja badae uki niruhusu.
Leo na jaribio la Hydraulics n' Pneumatics ngoja niwai shule.
I miss u my mkubwa wangu Blue G
Hatua alochukua ni kutoa maelezo ya hivyo. Hatua gani nyingine achukue?