mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,402
Watanzania tuache chuki ya wazi kabisa dhidi ya jamii hususani kijana Makonda.
Kauli ya Makonda haikutakiwa kua big deal wala haikustahili aombe msamaha.
Walemavu kwenye hotuba yao ,walisema kuna Matajiri wengi nchini lakini Reginald Mengi alikua tofauti kabisa ,kwa moyo wake wa upendo na kutoa alichobarikiwa.
Swali ,,kauli hii inatofauti gani na ya Makonda?,mbona kwa hawa walemavu hawajaambiwa waombe radhi kwa kutofautisha Matajiri?
Tuwe wawazi kuna chuki binafsi dhidi ya Makonda ,na Mungu ni mwema mahasimu wa Makonda watashindwa vibaya kwa jina la yesu kristo
Amen