tafuta choo ukajisaidie tumbo lipoweNpo kivulini na maji nmekunywa
tafuta choo ukajisaidie tumbo lipoweNpo kivulini na maji nmekunywa
Mchezo huu hautaki hasira.Maneno haya mwambie mama yako ambae kwa baba yako kaolewa mara ya 7,kaachika mara 6
Ukileta kubwa unapewa > kulikoMchezo huu hautaki hasira.
Wewe na huyo hovyoo mnazama mnatafuta unyasi uwaokoe.Watanzania tuache chuki ya wazi kabisa dhidi ya jamii hususani kijana Makonda.
Kauli ya Makonda haikutakiwa kua big deal wala haikustahili aombe msamaha.
Walemavu kwenye hotuba yao ,walisema kuna Matajiri wengi nchini lakini Reginald Mengi alikua tofauti kabisa ,kwa moyo wake wa upendo na kutoa alichobarikiwa.
Swali ,,kauli hii inatofauti gani na ya Makonda?,mbona kwa hawa walemavu hawajaambiwa waombe radhi kwa kutofautisha Matajiri?
Tuwe wawazi kuna chuki binafsi dhidi ya Makonda ,na Mungu ni mwema mahasimu wa Makonda watashindwa vibaya kwa jina la yesu kristo
Amen
Bashite anavuna alichopanda.Watanzania tuache chuki ya wazi kabisa dhidi ya jamii hususani kijana Makonda.
Kauli ya Makonda haikutakiwa kua big deal wala haikustahili aombe msamaha.
Walemavu kwenye hotuba yao ,walisema kuna Matajiri wengi nchini lakini Reginald Mengi alikua tofauti kabisa ,kwa moyo wake wa upendo na kutoa alichobarikiwa.
Swali ,,kauli hii inatofauti gani na ya Makonda?,mbona kwa hawa walemavu hawajaambiwa waombe radhi kwa kutofautisha Matajiri?
Tuwe wawazi kuna chuki binafsi dhidi ya Makonda ,na Mungu ni mwema mahasimu wa Makonda watashindwa vibaya kwa jina la yesu kristo
Amen
Exactly!Hakuna kauli atakayoitoa Makonda ikaonekana sahihi mbele ya wauza ngada
Walemavu kwenye hotuba yao ,walisema kuna Matajiri wengi nchini lakini...
Makonda aliponda kabila la wachaga dhidi ya kabila gani?
Mtaokoteza kila kauli kuhalalisha roho zenu za kishenziWacchaa ujinga
Wenye Hekima wameliona..Wewe nani? Makonda ametokota
Mh. Pius MSekwa amekemea tabia ya Dogo
Msekwa atoa neno kwa viongozi vijana
Siku moja baada ya mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Askofu Fredrick Shoo na katibu mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally kuwataka viongozi vijana kuchunga ndimi zao, makamu mwenyekiti...www.mwananchi.co.tz
Dhidi ya makabila mengine.Makonda aliponda kabila la wachaga dhidi ya kabila gani?
Npo kivulini na maji nmekunywa
[/Qk] baridi yote hii unakunywa maji? Na mvua zote hizi unakaa kivuli gani?
Nakusawazisha kwanza ndipo nikusahihishe juu ya hoja yako!
Watu wenye ulemavu na siyo vilema ndivyo wanavyotambulika kistaarabu na kwa heshima. Binafsi nawaona waelewa kuliko huyu unayemtetea kwani wamejiaddress vyema kwa kumtaja tajiri na siyo mchaga! Sijui Kama akili yako inatosha kuibaini hekima na busara ya watu wenye ulemavu! Kwani hawalijui kabila LA hayati Mengi?
Kubali tu kuwa MNA kiburi na dharau za kishamba kisa ni madaraka tens ya kupangiwa! Ingekuwaje Kama angekuwa prince ambaye madaraka anazaliwa na kufa nayo?
Una umri gani? Huelewi nini?Watanzania tuache chuki ya wazi kabisa dhidi ya jamii hususani kijana Makonda.
Kauli ya Makonda haikutakiwa kua big deal wala haikustahili aombe msamaha.
Walemavu kwenye hotuba yao ,walisema kuna Matajiri wengi nchini lakini Reginald Mengi alikua tofauti kabisa ,kwa moyo wake wa upendo na kutoa alichobarikiwa.
Swali ,,kauli hii inatofauti gani na ya Makonda?,mbona kwa hawa walemavu hawajaambiwa waombe radhi kwa kutofautisha Matajiri?
Tuwe wawazi kuna chuki binafsi dhidi ya Makonda ,na Mungu ni mwema mahasimu wa Makonda watashindwa vibaya kwa jina la yesu kristo
Amen
Uko sahihi.Hao walemavu walitaja kabila lolote?Tuache kushabikia mambo ya kitoto.