Kauli gani ilikuwa ina kukera i mean kauli za walimu.

SPECIAL TMN

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
1,111
807
Habari wanaJF, Hebu tujaribu kukumbushana kauli ya mwalimu wako wakati uko skuli.
 
Peleka chit chat kulee!halafu pia kule chit chat ipo iyo thread...nenda kule na majibu utayapata uko uko
 
Namkumbuka mwalimu wang mmoja wa chuo,alikuwa akisema....ntawasapisha wote,
 
Kama hujaelewa tutakutana kwenye test na wengine kwenye September Conference
 
Back
Top Bottom